Rais mstaafu JK naona anasifia tume huru ya Kenya, wagombea binafsi na uwazi wa uchaguzi na anasema Africa ijifunze Kenya.
Binafsi maswali ni mengi kuliko majibu, alipokuwa Rais alifanya nini kuhakikisha hayo yanatokea? Si, ni yeye aliyeusambaratisha rasimu ya Warioba kwa hotuba yake pale bungeni iliyopangwa mwisho kinyume na utaratibu?
Kikwete ni mnafiki sana. Kabla ya katiba alikuna US na kuongea na diaspora halafu bunge la katiba lilipo anza tukaambiwa na yeye ndiye anakwamisha yale ambayo aliyaongea na diaspora. Yaani sio mtu wa wazi ni mnafiki sana. Anachopenda yeye ni sifa kwake tu