Kikwete wa Kenya na Kikwete wa Tanzania ni watu wawili tofauti


Kikwete ni mnafiki sana. Kabla ya katiba alikuna US na kuongea na diaspora halafu bunge la katiba lilipo anza tukaambiwa na yeye ndiye anakwamisha yale ambayo aliyaongea na diaspora. Yaani sio mtu wa wazi ni mnafiki sana. Anachopenda yeye ni sifa kwake tu
 
Na ukiwakutanisha hawa wawili watapigana bunduki, kikwete wa Tanzania vs kikwete wa kenya
 
Unafique
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…