Nani kasema, wasiokuwa na kazi ndio wanaathirika zaidi ukishakuwa kwenye system umekuwa ila wasiokuwa nakazi ukienda omba tu kauri moja mpaka korona iishe.Kila mtu kaathiriwa na janga la Corona labda wale wa kukaa home ndo halijawaathiri ila sisi wafanyakazi mambo mengi sana yameharibika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbali na kujadili mambo mbalimbali yanayohusiana na corona, nadhani ni wakati muafaka na sisi watumiaji wa mtandao huu wa JamiiForums tukaeleze ni jinsi gani janga hili limetuathiri kiuchumi na kijamii kwani ni wazi karibu kila mtu atakuwa ameguswa kwa namna moja au nyingine.
Maelezo yetu/ yako yatasaidia kutoa mwanga wa nini kinaweza kutokea au kuwapata watu wengine iwapo gonjwa hili litakuwa king'ang'anizi na pia iwapo tutalazimika kuchukua hatua kali kukabiliana na ugonjwa huu kama ilivyo kwa mataifa mengine.
Tupe athari zilizukukumbuka na hata kama umefaidika na uwepo wa gonjwa hili, tueleze ni kwa namna gani kwani kila kitu kina faida na hasara zake.
Tupeana uzoefu, maana uzoefu wako mbali na mambo mengine,pia unaweza kusaidia wengine kujipanga/kuchukua tahadhari kibiashara, kijamii, kiafya n.k endapo tatizo hili litaendelea.
Shukuru anaekudai amekuelewea na amekuongezea muda.,wengine hawaelewi.The same same.
Nilitarajia kumaliza deni mwezi wa 5 nimesogeza muda mpaka mwezi August.
Unless otherwise tutakula nyasi. Hili balaa lisipoisha ni hatari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Annual event huwa tunaifanya April lakini kwa sababu ya Corona imebidi tuahirishe. Huwa namake some money na nilishakua nishaweka mipango yangu sawia the Boom Corona hiyo. Nimechukia sema basi tu.
Leo ingekua harusi ya sister angu mmoja hivi lakini Corona imebidi wasogeze mbele kwenye tarehe zisizojulikana.
Sent from my iPhone using JamiiForums