Kila anachosema mwanamke mbele ya mwanaume ni kinyume chake, akisema hampendi Juma jua ni kinyume chake

Pia nikagundua kwamba mwanamke hawezi kuolewa au kuwa na urafiki wa kudumu na mwanaume ambaye hawezi kumtawala. Labda niseme mwanamke hawezi kuolewa na mwanaume ambaye hawezi mwendesha/kumtawala
Hiki umeongea kinyume.....Mwanamke lazima.
umtawale hata kama ni mzuri kiasi gani never let her on Rock Pedestal
 

Hakuna fomula
 
P
Hiki umeongea kinyume.....Mwanamke lazima.
umtawale hata kama ni mzuri kiasi gani never let her on Rock Pedestal
Kabra haja kukubalia kuwa mpenzi/mke

Huyo mpenzi au mkeo Alisha kumiliki kwanza ndipo akaku kubali
 
Hakika mkuu women psychology ni tofauti sana na watu wanvyofikir, inahitaj kuwa against the norm kuwin hawa viumbe lasvyo ni maumiv tyu, labda Kama unapesa kidogo utaenjoy lasvyo....! hata maandiko yanasema tuish nao Kwa akili.
mkuu de Gunner saikolojia yao inatofautiana kivipi na yetu wanaume? tufafanulie mkuu japo tuelewe zaidi.
 
Peril22 hapa umetusaidia wengi sana.

Mfano mdogo, kuna mahali nilikuwa nakwenda kupata huduma, kuna demu wa kawaida tu, nikawa kila nikifika kazini kwao anataka mimi ndio nianze salamu hata kama yeye ni mtoa huduma, yaani hana ile customer care kwa mteja na kujisikia sikia juu, nikaanza tabia kila ninapofika namsalimia mwenzake ila yeye simpi salamu, naona akagundua, baada ya hapo kila nikifika yeye ndio alikuwa anaanza kunipa salamu.

Siku zote mimi naona ukishazinguana na mwanamke mkafikia hatua ya kuchuniana, wewe mwanaume endeleza mikausho kwasababu ktk vita hii kawaida wanawake huwa wana-surrender.
 
Hawa watu ukionesha kuwapenda na kuwathamini kupita kiasi kuna tabia huwa zinaibuka from no where. Kikubwa hatakiwi kujua kiwango cha upendo ulichonacho kwake.
Ukweli unabaki nao mwenyewe kama unampenda au no. Hapa lazima akili iwe kubwa kuliko hisia.
 
Mkuu ulikuwa umemuoa BINGWA WA RIVASI

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Peril22 kweli kabisa ni watu wanaoweza kubadilika hadi ukashangaa huyu mtu ndie yule yule au siye! Ukichanganya wanaongozwa na hisia badala ya akili alafu ukuete mashoga wake wanamshauri ujinga, usipokuwa na stable utajikuta unakuwa submissive kwake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…