Kila anaepewa nafasi anatulazimisha tumuunge mkono Rais Samia

Kwanini usimuunge mkono Rais Samia Suluhu maana anafanya kazi kubwa sana kuleta maendeleo nchini lazima tuendelee kushiikiana nae na 2025 Rais Samia Suluhu atashinda kwa kishindo
 
Mkuu kwani umevulugwa na nini?

Muwe mnatupatia na sisi wananchi tumweleze mama. sio mda wote mnampamba tu mama huku tunaumia.
Umeumia na nini Mzee Rais Samia Suluhu amefanikisha mambo mengi sana kama kijana hauna ajira serikali inagawa mashamba kwa vijana inagawa mikopo ya mashart nafuu unataka nini tena
 
Reactions: Ame
Kwanini usimuunge mkono Rais Samia Suluhu maana anafanya kazi kubwa sana kuleta maendeleo nchini lazima tuendelee kushiikiana nae na 2025 Rais Samia Suluhu atashinda kwa kishindo
Hahah.. kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…