Kabisa mkuu, siyo mtu wa kaawaida huyuMwana JF Robert Heriel Mtibeli aliweka uzi humu kuwa Lissu ana muku ya Mungu.
Ukimfanyia chochote jiandae tu kushughulikiwa na muku ya Mungu
kiwanda cha uongommh, hizo taarifa za afande aliyemsukuma lisu kuchomwa kisu na sasa ni marehemu, umezipata wapi mkuu?
Mkuu umepitwa sana mkuu. Wiki iliyopota ilikuwa ndiyo habari ya mjini. Unadhani kwann mara ya mwisho kwann askari magereza walikuwa wanakaa mbali na Lisu pale mahakamani?mmh, hizo taarifa za afande aliyemsukuma lisu kuchomwa kisu na sasa ni marehemu, umezipata wapi mkuu?
Ohoo! Huyu askari alipigwa kisu baada ya kutokea ugomvi kati yake (askari) na kijana aliyekuwa kampa kazi ya kuendeshakiwanda cha uongo
kiukweli sijasikia na alichomwa kisa nni nanani?Mkuu umepitwa sana mkuu. Wiki iliyopota ilikuwa ndiyo habari ya mjini. Unadhani kwann mara ya mwisho kwann askari magereza walikuwa wanakaa mbali na Lisu pale mahakamani?
Pepo mchafu (Israel mtoa roho ) alimpanda na kuanzisha ugomvi na kijana wa bodaboda, kisha akapigwa kisu na kujikuta kaenda peponikiukweli sijasikia na alichomwa kisa nni nanani?
polesana Kwan ashazikwa singida hukommh, hizo taarifa za afande aliyemsukuma lisu kuchomwa kisu na sasa ni marehemu, umezipata wapi mkuu?
Kifaru kwa lugha ya nyumbani kwao ana balaa.1. Askari magereza aliyemsukuma Lisu, alinuka mpk kufikia hatua ya kuchomwa kisu na kufariki.
2. Ndugai aliyemsulubu Lisu kwa kumnyima stahiki zake, alinuka mpk kufikia hatua ya kulazimishwa kujiuzulu uspika. Na sasa amefariki.
3. Jiwe aliyepiga marufuku wanaccm kwenda kumuona Lisu hospitalini Nairobi, alikatwza watu kumchangia damu na alikataza watu kumuombea. Alinuka mpk akafariki.
4. Mbowe aliyejaribu kumng'oa Lisu chadema kwa hila, amenuka kiasi kwamba anaogopa hata kusalimiana na watu. Mtu aliyekuwa prominent figure amegeuka kuwa kichekesho.
5. Samia kabla ya kumkamata Lisu na kumbambikia kesi uchwara ya uhaini alikuwa ni kiongozi anayezungumzika. Lkn baada ya kufanya hila hizo Samia amenuka, tena amenuka kweli kweli kiasi kwamba mpk ndani ya chama chake hawamtaki. Soon, very very soon Samia atageuka kuwa kituko.
Membe (rip) alijipachika jina la NIGUSE NINUKE, lakini huyu Lisu apachikwe jina la NIGUSE UNUKE.
πππ eti kajikuta kaenda peponi,Pepo mchafu (Israel mtoa roho ) alimpanda na kuanzisha ugomvi na kijana wa bodaboda, kisha akapigwa kisu na kujikuta kaenda peponi
Si unaona anavyonuka nchi nzima kwa sasa?? Hata akina bibi wa Kantalamba, Nanyumbu na Nanguruwe huko hawamtaki Samiaπππ eti kajikuta kaenda peponi,
Kwahiyo tutegemee mabaya zaidi kumkuta Samia??
uongoo?kiwanda cha uongo
1. Askari magereza aliyemsukuma Lisu, alinuka mpk kufikia hatua ya kuchomwa kisu na kufariki.