Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
- Thread starter
-
- #181
Wakurugenzi wa mchongo. Mtu anatoka DST anapewa Tanesco bila interviewKama tz tukiachana na mbeleko nchi itaendelea,kila mtu awajibike kwenye nafasi yake,mashirika hayana faida navmkrurugenzi yupo anakula Bata,hakuna wa kumwajibisha,nafikiria kuanzia maded wa hslmashauri wapatikane kwa interviews ,tuachane na haya Mambo ya kupachika pachika watu hovyo
Watakutoa nduki na vikwazo juuHi hivi nchi zote dhaifu duniani zenye viongozi kama wewe wa hovyo zitapewa mkataba wa hovyo. Msiojua kusoma chochote.
Nchi makini zitapewa mkataba makini.
Tumeelewana, wanaojitambua hawatapewa vipengele, masharti ya hivyo kama haya.
Utawapa vipengele masharti, makubaliano, mkataba kama haya USA,UK, Netherlands?
Ndio hivyo au kama Tanesco. Tanesco Ikakuwa kwa ufanisi mkubwa Tanesco ikawa kubwa dunia nzima.Bandari ya Dubai ni kampuni ya serikali kama vile tunavyomiliki shirika la Reli. Au air Tanzania
Mkuu Dubai, UAE yote, Singapore,South Korea, Malaysia, wangekubali huu ujinga? Ni level zetu. Tuna rasilimali zaidi zao.Watakutoa nduki na vikwazo juu
Hatujui kuzitumia na hatutaki kujifunza kuzitumia.Mkuu Dubai, UAE yote, Singapore,South Korea, Malaysia, wangekubali huu ujinga? Ni level zetu. Tuna rasilimali zaidi zao.
Kwanini hatujiamini?
Kila Rais akiingia lazima ashibe na watu wake woteNdio hivyo au kama Tanesco. Tanesco Ikakuwa kwa ufanisi mkubwa Tanesco ikawa kubwa dunia nzima.
Kama (BP) British Petroleum.
DP World. Tunafail wapi?
Hizi teuzi ndio sumu kwa taifaHatujui kuzitumia na hatutaki kujifunza kuzitumia.
Kuna kaupumbavu ka uteuzi tu bila interview baadae anaboronga antengua. Anateuwa tenaMkuu Dubai, UAE yote, Singapore,South Korea, Malaysia, wangekubali huu ujinga? Ni level zetu. Tuna rasilimali zaidi zao.
Kwanini hatujiamini?
Kila kitu lazima ukalili Sema uwezo wa kukariri Moja kwa Moja mwingine a kutoka nje tu anasahauKuwa na division one ya kukariri sio kuwa na akili.
One 7We ulipata division ngapi?
Wanaopinga wote ni division one?Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.
Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?
Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
Wanaopinga wote ni division one?
Most of themWanaopinga wote ni division one?
Hivi wabongo hawawez kuendesha migodi yote kama wakiwezeshwa nyenzo na elimu? Hawawez endesha uchimbaj wa wese na gas kama wakipewa elimu na nyenzo toka kwa mdau mkubwa gavoo?Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.
Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?
Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
Wanaopata fursa ni Vilaza wa napiga kelele na wanafistna. Kwasababu vipanga Hawana muda wa kurumbana ana wanabuni mbinu zingine wanaenda nchi za nje kufundisha vyo vikuu. Tunabakia mambululaHivi wabongo hawawez kuendesha migodi yote kama wakiwezeshwa nyenzo na elimu? Hawawez endesha uchimbaj wa wese na gas kama wakipewa elimu na nyenzo toka kwa mdau mkubwa gavoo?
Tunaweza ila ndo hatujawekeza kwenye kuleta wataalamu nchini kwa ajili ya kutoa elimu kwa vijana. Tumekomaa na elimu ya kukariri misamiatiHivi wabongo hawawez kuendesha migodi yote kama wakiwezeshwa nyenzo na elimu? Hawawez endesha uchimbaj wa wese na gas kama wakipewa elimu na nyenzo toka kwa mdau mkubwa gavoo?
Sehemu zote Naongelea msumbiji, Congo, Djibout, Senegal etc kama unaona hawa sio wenzetu sawa, ila sijatolea mfano huko Uk na Netherland.Hi hivi nchi zote dhaifu duniani zenye viongozi kama wewe wa hovyo zitapewa mkataba wa hovyo. Msiojua kusoma chochote.
Nchi makini zitapewa mkataba makini.
Tumeelewana, wanaojitambua hawatapewa vipengele, masharti ya hivyo kama haya.
Utawapa vipengele masharti, makubaliano, mkataba kama haya USA,UK, Netherlands?
Wanaweza kokote kuleSasa kwanini wasichue Bandari kilwa wakajenga Bandari harafu ikashindana na ya DSM
Kwahiyo tupigwe kama wasiojitambua wote. Hizo ndio standards zenu?Sehemu zote Naongelea msumbiji, Congo, Djibout, Senegal etc kama unaona hawa sio wenzetu sawa, ila sijatolea mfano huko Uk na Netherland.
Pili watu wote wanaongelea mkataba na wao wamesikia tu kwa wenzao, hakuna hata leak ya huo mkataba.