kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Kuchelewa kufunguliwa mradi wa bwawa la Nyerere kwa hali yoyote ni njama ya wale ambao mradi kama huo ungewaingizia binafsi mabilioni kwa upigaji au wataathirika upigaji wao kwa mradi mkubwa wa hydro kuzalisha umeme megawati 2000 na zaidi. Kuna maajenti wa mabeberu wa kigeni wako tayari kwa utumishi kwa faida yao na mabwana zao.
Nchi kama tanzania ni marufuku kujitosheleza umeme na ni marufuku kua na umeme wa bei za chini kama kwenye nchi zilizoendelea. Sababu ni kuwepo mirija kila kona. Mirija midogomidogo ya wapigaji wenyeji hatimae inaunganika kua mabomba kwenda ng'ambo ulaya na marekani. Umeme wa gharama ya chini inajulikana ni kivutio kikubwa kwa uwekezaji kwenye viwanda. Maadui hawalitaki hilo. Hawataki tuendelee.
Baada ya magufuli kufa tumeona kila dalili kuonesha bwawa la nyerere litachelewa na kwamba kuna kosa hili na lile kwa hivyo litachelewa. Yaani wapigaji baada ya kujipanga wanasanifu waleje maana mradi uliyokua hautakiwi tayari upo.
Tungemshauri mama aache kuwaamini watu aliyowatosa magufuli vinginevyo watatuliza kama taifa kutokana na miradi mikubwa aliyoianzisha magufuli.
Watalihujumu taifa maana hawakubali miradi kama hiyo ipite kwa gharama halali bila wao kulamba. Pia wanafuata maelekezo ya mabebeberu wa nje ni miradi gani tu nchi inaruhusiwa kufanya.
Miradi ile tu ina maslahi na uchumi za nchi za kibeberu na ni unyonyaji wala haileti maendeleo na uhuru kwa nchi.