Kila kitu huvutia kinapokuwa katika asili yake

Ndiyo nani huyo philemon na anaishi wapi?
 
Ingekuwa ni msagaji nisingekuwa na mashaka sababu ni rahisi kwa msagaji kubadili life yake na kuachana na utoto.

But kwa mwanaume ambaye ameshakuwa molested na kuwa penetrated ni ngumu sana kusimama tena kama mwanaume kamili tena hata iweje.

Kuna vitu hawezi tena kufanya mfano,hawezi kuwa baba wa familia kwasababu history yake itakuja kumhukumu kwa mkewe na watoto wake so hataweza kuwa kichwa cha familia especially nyakati ngumu za kufanya maamuzi ya kiume. Imagine mkewe akimwambia mwanaume utakuwa wewe nenda ukafanywe huko na vidume wa kweli.

Ni ngumu sana kuweza kulea watoto kwa maana ya kuwa baba kiongozi kwao especially wakisha jua historia yake.

Kujichanganya na wanajamii kama mwanajamii wa kawaida bila aibu au fedheha ya kunyooshewa vidole kutokana na historia yake.
 
Ahaa umenikumbusha kitu...

Huwa najiuliza sana kama u-LGBTQIA+ ni asili na upekee wa mtu binafsi(kama wanavyopenda kusema wao), inakuwaje watu wa LGBTQ wanaamua kuwa kawaida?

Inachanganya sana....
Hizo ni propaganda tu trust me.
Nishaangalia documentary za haya mambo mwishowe nimejifunza sio asili ila MAZINGIRA yanachangia sana.
Angalia vitoto vya kike vinavyokua vimezungukwa na wavulana vinavyo behave kiume!Na mazingira yakiendelea hivyo mpaka ukubwaniatapata matatizo ya akili kujihisi kazaliwa kwenye wrong body
 
Kuna kitu kwenye macho ya Aggrey mpya ambacho kinaashiria hofu kubwa. Mpaka kufikia maamuzi aliyofikia itakuwa kadhihirishiwa mengi kiroho. Nina hakika hatorudia tena kufanya aliyokuwa akiyafanya.

Sio kwa ubaya ila nahisi kupona kwake alichokuwa anaumwa na kuokoka kwake ni kwa sababu maalum ya kiroho zaidi. Inawezekana asiishi muda mrefu baada ya sasa ili tu kutimiza utakaso wake.

Ni busara kumpa moyo kwa maamuzi aliyofikia na kutoweka shaka juu ya uthabiti wa dhamira yake.
 
Hivi hatuwezi kutafuta matibabu yake kama taifa? Ili mtu akiacha asirudi tea huko
 
Hakuna linaloshindikana chini ya jua . Wapo mashoga kadhaa nawafahamu wameoa na wana watoto wengine huendelea na wengine huacha inategemea na watu unaofatana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…