Kila kitu kilishapangwa

Kila kitu kilishapangwa

Napata 50 nimejumlisha birthdate, mwezi wa kizaliwa na mwaka
DR Mambo Jambo
50 ni Tano.
5

"People with Life Path Number 5 are on a journey of exploration, growth, and adventure.

They value freedom and are always seeking out new experiences. Life Path Number 5s are curious, adaptable, flexible, adventurous, fearless, social, energetic, and fun-loving."

Kingine hawa watu wanapenda sana Kusafiri "Travel orientes" ,

kwakuwa Namba tano hutawaliwa na mercury sayari ya Communication bhasi hawa watu Wanaongea sana, kutokana na wao kuongea sana kuna muda huwa wanavuka mipaka yao ya mazungumzo "Hivyo tabia mojwapo ni kujitahidi kuongea pale tu inapobidi"..

Here are a handful of career options that would be well suited for a 5:
  • Sales, marketing, or advertising
  • Actor
  • Musician
  • Athlete
  • Environmental activist
  • Philanthropist
  • Lecturer
  • Addiction counselor
  • Adventure, hospitality, or travel guide (i.e., ski instructor, tour guide, travel agent, etc.)
  • Project manager
  • Event planner
  • Publicist/promoter
  • Communications/media professional
  • Journalist..
Kwenye maswala ya Kazi wana bahati moja tu life path 5 ni people person with a variety of talents—they can run several projects at the same time and have a gift for advising and communicating with others,

Yako mengi tu kwa leo.haya
 
I know najua mimi huwa na Acces hizo energy kwa kuwaza kuProject concious na Meditation throgh different mudras Na nimefanya mambo mengi kuwezekana ikiwa pamoja na kupata information ya mambo yaliyoshindikana kabisa..

So nakuelewa sana ukisema hivyo kwa sababu Proof ninayo hata mimi..
Kuna Power na Energy kubwa sana ambayo binadamu tukiijua kuitumia kwa only 50% Tutakuwa watu tusioshikika hata robo
Kuna kipindi hii energy yangu ya ndani, ilikuwa iko active Sana.

Niki fikiri Jambo na kuli hitaji, basi nali fanya au kulipata.
These days naona kama nime kuwa mwepesi kidogo.
 
Kuna kipindi hii energy yangu ya ndani, ilikuwa iko active Sana.

Niki fikiri Jambo na kuli hitaji, basi nali fanya au kulipata.
These days naona kama nime kuwa mwepesi kidogo.
Kitu kinachomaliza energy trust me cha kwanza kabisa ni Uoga "Fear" ndo maana hata kwenye colour Frequency fear huwa ni Red..

Cha pili Ni Misuse of sexual Energy kupiga sana machine kulko.kawaida unatakiwa ufanye retention au Punguza kasi ya kumwaga mzee 😅😅
 
Yangu ni 9 mkuu
Tuna same Life path 😅😅
Screenshot_20240324_235801_Adobe Acrobat.jpg

CC: Intelligent businessman
 
Kitu kinachomaliza energy trust me cha kwanza kabisa ni Uoga "Fear" ndo maana hata kwenye colour Frequency fear huwa ni Red..

Cha pili Ni Misuse of sexual Energy kupiga sana machine kulko.kawaida unatakiwa ufanye retention au Punguza kasi ya kumwaga mzee 😅😅
Uoga ni kweli, kwasababu Kuna muda naogopa baadhi ya mambo au maamuzi yangu mkuu.

Hilo la pili, I got no comment 😂, sema kwa Sasa nipo kwenye sperm retention ya muda mrefu.

Hata Ile deep thinking na curious yangu vime shuka mno aisee.

Back on those days, nilikuwa naamini am the best, aisee ni kugusa tu mambo Yana jipa yenyewe
 
Mkuu nakuelewa sana nilishapita hicho kipindi 😅😅😅..
Halfu na Ukishuka kiEnergy unahisi kabisa huna thamani na Unajichukia kabisa..

Kuna kipindi nilifnya ujinga wa makusudi nikapuuza Retention nikawa nawaachia tu wazungu siku..

Kuna siku nilijihisi tu kama Mwili hauna nguvu hata nikifanya meditation sipati. Matokeo yoyote..
Nilipokuwa nikifanya mudra sioni kitu..

Uwezo wa kufikiri pia ukapungua Ila nashukur nilirekebisha makosa angalau nilirudi kwenye hali ya kawaida
 
Mkubwa Kuna kipindi ilivyo Anza, nili hisi kuwa mweupe kabisa kichwani.

Ni kama mtu ali delete everything in ma head, hata kusema baadhi ya vitu ni kipengele 🤓.

Sema nitarudi huko soon,
 
Aisee Kuna mambo baadhi yame nigusia sana, huwa nawabeba watu wengi- sana kiukweli.

Sija elewa hapo kuhusu hiyo success inayo kuja, kutoka 28 year
Nop kuna vitu huwa Vinaelezwa kwenhe hiyi first cycle na second na hata third..

Mara nyingi firsf cycle ni ile cycle ya wewe kujifunza ,Kuishi na Familia yako,Kukua Kufanya majukumu yako kwa familia (Wazazi)..huwa wanaiita mara nyingine ni Birth force period cycle..
Hii inakupa time ya wewe kugrow.. Kulearn something...

Second ni Time Ya wewe kuyafanyia kazi.uliyojifunza kwa experience au kwa kuyavuna (Karma)..

Hiki ndo kipindi cha Kulipa Karma sasa na ndo kipindi chenye ugumu rangi zote hutaacha kuziona..😅😅

Wengi wanatoka vizuri kwenye cycle ya kwanza ila ikifika period ya pili mpaka waimalize wako hoi..
Kumbe hawakujifunza na kukua walipokuwa kwenye period ya kwanza..
 
Mkubwa Kuna kipindi ilivyo Anza, nili hisi kuwa mweupe kabisa kichwani.

Ni kama mtu ali delete everything in ma head, hata kusema baadhi ya vitu ni kipengele 🤓.

Sema nitarudi huko soon,
Energy ikiondoka huwa inachukua mpaka uwezo uliokuwa nao huwa inachukua Siku tatu mpaka nne kuheal na kuridisha uwezo wa zamani..

Unajua haya mambo tukiyaongea hadharani watu wanajua ni uchawi ila ukiyafnya na ukayapitia unajua jinsi yanavyofanya kazi..

Yaani unajihisi huna thamani anaweza akatokea dogo akakupa hata swali dogo na ukashindwa kujibu 😅😅
 
Kibaya nili Anza kupongana na swala Hilo😂🤣, nikasema it can't be me aisee.

Ukisoma vitabu havi Ingia kabisa, kichwa kina kuwa kizito ajabu .

Kuna siku nili ona gari, akili Inasema hiki kitu Kama naki jua, kuki pronounce ndo kasheshe ya mwaka
 
Sasa umuadithia Mtu asiyekuwa na maarifa hayo atakuambia umerogwa au umetupiwa Jini 🤣🤣
 
Back
Top Bottom