Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Email yangu niHiyo itachukua Nyuzi zisizopungua 50 mkuu..
Kuna vitanu huwa ninavyo nitakutumia..
Nipe email yako
manyanza@jamiiforums.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Email yangu niHiyo itachukua Nyuzi zisizopungua 50 mkuu..
Kuna vitanu huwa ninavyo nitakutumia..
Nipe email yako
50 ni Tano.Napata 50 nimejumlisha birthdate, mwezi wa kizaliwa na mwaka
DR Mambo Jambo
Ni 41 sio 50 sorry50 ni Tano.
5
Kuna kipindi hii energy yangu ya ndani, ilikuwa iko active Sana.I know najua mimi huwa na Acces hizo energy kwa kuwaza kuProject concious na Meditation throgh different mudras Na nimefanya mambo mengi kuwezekana ikiwa pamoja na kupata information ya mambo yaliyoshindikana kabisa..
So nakuelewa sana ukisema hivyo kwa sababu Proof ninayo hata mimi..
Kuna Power na Energy kubwa sana ambayo binadamu tukiijua kuitumia kwa only 50% Tutakuwa watu tusioshikika hata robo
Hilo jibu la mwisho linaashiria nini ?Ngoja nikufundishe kitu ijumlishe yote Tarehe,Mwezi na mwaka ..
Yaani kwa mfano 16 septembee 2032..
1+6+0+9+2+0+3+2 Yaani jumlisha kila herufi halafu nipe jibu la mwisho
41 na 50 ni kitu kile kile 5+0=5 na 4+1=5Ni 41 sio 50 sorry
Kitu kinachomaliza energy trust me cha kwanza kabisa ni Uoga "Fear" ndo maana hata kwenye colour Frequency fear huwa ni Red..Kuna kipindi hii energy yangu ya ndani, ilikuwa iko active Sana.
Niki fikiri Jambo na kuli hitaji, basi nali fanya au kulipata.
These days naona kama nime kuwa mwepesi kidogo.
Ukijumlisha Tarehe mwezi na mwaka unaashiria Path life "Mapito unayopitia au unayopaswa kuwepo sasa au tabia ulizonazo.kwa sasaHilo jibu la mwisho linaashiria nini ?
Yangu ni 9 mkuuNgoja nikufundishe kitu ijumlishe yote Tarehe,Mwezi na mwaka ..
Yaani kwa mfano 16 septembee 2032..
1+6+0+9+2+0+3+2 Yaani jumlisha kila herufi halafu nipe jibu la mwisho
Uoga ni kweli, kwasababu Kuna muda naogopa baadhi ya mambo au maamuzi yangu mkuu.Kitu kinachomaliza energy trust me cha kwanza kabisa ni Uoga "Fear" ndo maana hata kwenye colour Frequency fear huwa ni Red..
Cha pili Ni Misuse of sexual Energy kupiga sana machine kulko.kawaida unatakiwa ufanye retention au Punguza kasi ya kumwaga mzee 😅😅
Mkuu nakuelewa sana nilishapita hicho kipindi 😅😅😅..Uoga ni kweli, kwasababu Kuna muda naogopa baadhi ya mambo au maamuzi yangu mkuu.
Hilo la pili, I got no comment 😂, sema kwa Sasa nipo kwenye sperm retention ya muda mrefu.
Hata Ile deep thinking na curious yangu vime shuka mno aisee.
Back on those days, nilikuwa naamini am the best, aisee ni kugusa tu mambo Yana jipa yenyewe
Aisee Kuna mambo baadhi yame nigusia sana, huwa nawabeba watu wengi- sana kiukweli.
Mkubwa Kuna kipindi ilivyo Anza, nili hisi kuwa mweupe kabisa kichwani.Mkuu nakuelewa sana nilishapita hicho kipindi 😅😅😅..
Halfu na Ukishuka kiEnergy unahisi kabisa huna thamani na Unajichukia kabisa..
Kuna kipindi nilifnya ujinga wa makusudi nikapuuza Retention nikawa nawaachia tu wazungu siku..
Kuna siku nilijihisi tu kama Mwili hauna nguvu hata nikifanya meditation sipati. Matokeo yoyote..
Nilipokuwa nikifanya mudra sioni kitu..
Uwezo wa kufikiri pia ukapungua Ila nashukur nilirekebisha makosa angalau nilirudi kwenye hali ya kawaida
Nop kuna vitu huwa Vinaelezwa kwenhe hiyi first cycle na second na hata third..Aisee Kuna mambo baadhi yame nigusia sana, huwa nawabeba watu wengi- sana kiukweli.
Sija elewa hapo kuhusu hiyo success inayo kuja, kutoka 28 year
Energy ikiondoka huwa inachukua mpaka uwezo uliokuwa nao huwa inachukua Siku tatu mpaka nne kuheal na kuridisha uwezo wa zamani..Mkubwa Kuna kipindi ilivyo Anza, nili hisi kuwa mweupe kabisa kichwani.
Ni kama mtu ali delete everything in ma head, hata kusema baadhi ya vitu ni kipengele 🤓.
Sema nitarudi huko soon,
Kibaya nili Anza kupongana na swala Hilo😂🤣, nikasema it can't be me aisee.Energy ikiondoka huwa inachukua mpaka uwezo uliokuwa nao huwa inachukua Siku tatu mpaka nne kuheal na kuridisha uwezo wa zamani..
Unajua haya mambo tukiyaongea hadharani watu wanajua ni uchawi ila ukiyafnya na ukayapitia unajua jinsi yanavyofanya kazi..
Yaani unajihisi huna thamani anaweza akatokea dogo akakupa hata swali dogo na ukashindwa kujibu 😅😅
Sasa umuadithia Mtu asiyekuwa na maarifa hayo atakuambia umerogwa au umetupiwa Jini 🤣🤣Kibaya nili Anza kupongana na swala Hilo😂🤣, nikasema it can't be me aisee.
Ukisoma vitabu havi Ingia kabisa, kichwa kina kuwa kizito ajabu .
Kuna siku nili ona gari, akili Inasema hiki kitu Kama naki jua, kuki pronounce ndo kasheshe ya mwaka