Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa


Mkuu nifafanulie msg hii...
Kipindi hiki si vha kuinunua bitcoin kwa wafanya biashara wa bitcoin kipindi hiki wanaoo nunua ni wale wanaoitumia bitcoin kwenye manunuzi yao.

Swali:

mfano wa matumizi hayo ni upi
Ina maana wote wanaouza kipindi hiki hupata hasara.

Na kama unashauri kipindi hiki tusinunue, sasa unamaana biashara hii husimama na kusubiri kipindi cha mavuno?
 
Zaidob
 
Unamuuzia nani ?

Na kama Bitcoin ni pesa, kwanini inunuliwe na kuuzwa tena kwa pesa ya kawaida ?
Umeambiwa haijatambulika na taasisi za kifedha ndo maana ukitaka kuiwithdraw lazma uibadili kwenda katika fedha inayotambulika kama tsh,dollars, euro, pound etc.
 
Kwa waliopo nje ya Tanzania unaweza kununua crypto kupitia skrill, crypto is the future money is just numbers
 

Nimenunua bitcoin wakati ilipokuwa inauzwa laki nne tsh. Leo nimepata faida zaida ya milioni 18. Wala sina mpango wa kuuza hivi karibuni.
 

Mkuu kwa sasa bei ya bitcoin bado ipo chini sana (20,000,000/= is nothing). Nimefanya technical analysis nimegundua 1btc itakuwa na thamani ya zaidi 100,000,000/= tsh.
Brother if u have btc don sell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…