Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Screenshot_2019-06-03-14-59-30.png

Mwezi wa 3 tu kitu kilikuwa milion 8 leo kinacheza kwenye m20
 
Bitcon ndiyo nini mkuu
ni pesa kama ambavyo zilivyo pesa nyingine mfano dollar au Shilling system yake ya kupanda na kushuka thamani ni lle ile.

Inatumika zaidi katika bishara za kimtandao katika kuza na kununua bidhaa.

Tofauti yake na pesa nyingine ni kwamba yenyewe haina central bank.

Taarifa zake zote zinasimamiwa ma mfumo unao itwa blockhain.

Na haina note au coin ni electronic money huwezi kuwithdrawal kama ilivyo lazima uibadili kwenda pesa nyingine yenye noti na sarafu ili uweze itumia kwa matumizi ya kawaida.

Sema bitcoin in high flactuation,unaweza leo ukanunu ya bit coin 1 ambayo sawa na tsh 22m kesho ukashangaa thamani yake ineshuka hadi tsh 10m.

Ila wadau wake wanajuaga lini wanunue na lini wauze.

Kama ilivyo kwa pesa ya kawaida kunawale wanao uza pesa na kununua pesa.
Ila pia kuna wale wanao itumia.
 
Sawa Mkuu,

Yaani bitcoin moja ni sawa na MILIONI ISHIRINI?
 
Umemuelezea vyema sana
 
Hahaa sio lazima ununue nzima mkuu unaweza nunua 0.0004 btc ambayo kama Tsh 12000/= hivi...

Hapana mkuu haitangazwi na TBC.
Kwahiyo Mkuu,,process za kuinunua inakuaje na Najuaje kama leo imepanda au kushuka,,, na kuiuza naiuza vipi Mkuu ,,

Hapo kwenye kuiuza hasa ikifika kiasi nataka kuchukua Tshs. Nafanyaje ili niondoke na mtonyo
 
ni pesa kama ambavyo zilivyo pesa nyingine mfano dollar au Shilling system yake ya kupanda na kushuka thamani ni lle ile.

Inatumika zaidi katika bishara za kimtandao katika kuza na kununua bidhaa.

Tofauti yake na pesa nyingine ni kwamba yenyewe haina central bank.

Taarifa zake zote zinasimamiwa ma mfumo unao itwa blockhain.

Na haina note au coin ni electronic money huwezi kuwithdrawal kama ilivyo lazima uibadili kwenda pesa nyingine yenye noti na sarafu ili uweze itumia kwa matumizi ya kawaida.

Sema bitcoin in high flactuation,unaweza leo ukanunu ya bit coin 1 ambayo sawa na tsh 22m kesho ukashangaa thamani yake ineshuka hadi tsh 10m.

Ila wadau wake wanajuaga lini wanunue na lini wauze.

Kama ilivyo kwa pesa ya kawaida kunawale wanao uza pesa na kununua pesa.
Ila pia kuna wale wanao itumia.
Nani guarantor wa hiyo currency? Kila pesa lazima iwe backed up na real asset, mfano dhahabu nk.
 
mkuu naomba nipe muongozo namna ya kununua, i wanna step my foot inn!
Jisajiri na wallet za bitcoin ushauri wacheki ramitano.

japo wana prosses ndefu ya kukukubali ambayo haina gharama ila ni usumbufu tu wa kutaka kuhakikisha huwadanganyi katika doc zako.

Ukiwa veryfied utaweza kuuza na kununua..

Document watakazo hitaji vitambulisho hasa vya uaia au teseni ya gari cheti cha kuzaliwa,pia utawatumia picha yako ukiwa umejipiga huku umeshika kitambulisho chako.

Anyway utawachukia mwanzo ila ukisha kuwa verified utaenjoy.
 
Kulikuwa na mkutano tarehe 21-22 May ulifanyika kampala uganda, kama kuna aliyekwenda atupe mrejesho plz
 
Back
Top Bottom