hesabu za set
Member
- Jan 4, 2019
- 18
- 13
Wewe mwongo hakuna kitu simple kama kuuza btc
tatizo la bitcoin ni kuwithdrawal ni shida sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo la bitcoin ni kuwithdrawal ni shida sana
Shida ipo wapi??tatizo la bitcoin ni kuwithdrawal ni shida sana
Bitcon ndiyo nini mkuuView attachment 1116202
Mwezi wa 3 tu kitu kilikuwa milion 8 leo kinacheza kwenye m20
zinatoka sema convertion rate ndo kubwa mfano jana juzi ilikua 21m kuiuza walikua wananunua kwa 19m in term of Tsh ambayo wanakudepositia kwenye account yako ya mobile money ndani ya dakika 15 muamala inakua umekamilika.tatizo la bitcoin ni kuwithdrawal ni shida sana
ni pesa kama ambavyo zilivyo pesa nyingine mfano dollar au Shilling system yake ya kupanda na kushuka thamani ni lle ile.Bitcon ndiyo nini mkuu
Sawa Mkuu,ni pesa kama ambavyo zilivyo pesa nyingine mfano dollar au Shilling system yake ya kupanda na kushuka thamani ni lle ile.
Inatumika zaidi katika bishara za kimtandao katika kuza na kununua bidhaa.
Tofauti yake na pesa nyingine ni kwamba yenyewe haina central bank.
Taarifa zake zote zinasimamiwa ma mfumo unao itwa blockhain.
Na haina note au coin ni electronic money huwezi kuwithdrawal kama ilivyo lazima uibadili kwenda pesa nyingine yenye noti na sarafu ili uweze itumia kwa matumizi ya kawaida.
Sema bitcoin in high flactuation,unaweza leo ukanunu ya bit coin 1 ambayo sawa na tsh 22m kesho ukashangaa thamani yake ineshuka hadi tsh 10m.
Ila wadau wake wanajuaga lini wanunue na lini wauze.
Kama ilivyo kwa pesa ya kawaida kunawale wanao uza pesa na kununua pesa.
Ila pia kuna wale wanao itumia.
Umemuelezea vyema sanani pesa kama ambavyo zilivyo pesa nyingine mfano dollar au Shilling system yake ya kupanda na kushuka thamani ni lle ile.
Inatumika zaidi katika bishara za kimtandao katika kuza na kununua bidhaa.
Tofauti yake na pesa nyingine ni kwamba yenyewe haina central bank.
Taarifa zake zote zinasimamiwa ma mfumo unao itwa blockhain.
Na haina note au coin ni electronic money huwezi kuwithdrawal kama ilivyo lazima uibadili kwenda pesa nyingine yenye noti na sarafu ili uweze itumia kwa matumizi ya kawaida.
Sema bitcoin in high flactuation,unaweza leo ukanunu ya bit coin 1 ambayo sawa na tsh 22m kesho ukashangaa thamani yake ineshuka hadi tsh 10m.
Ila wadau wake wanajuaga lini wanunue na lini wauze.
Kama ilivyo kwa pesa ya kawaida kunawale wanao uza pesa na kununua pesa.
Ila pia kuna wale wanao itumia.
Yap hadi leo mkuu BTC 1= TSH 22M sijui kesho.Sawa Mkuu,
Yaani bitcoin moja ni sawa na MILIONI ISHIRINI?
Duh! Wanaonunua ni Matajiri wakubwa sana,Yap hadi leo mkuu BTC 1= TSH 22M sijui kesho.
Hahaa sio lazima ununue nzima mkuu unaweza nunua 0.0004 btc ambayo kama Tsh 12000/= hivi...Duh! Wanaonunua ni Matajiri wakubwa sana,
Inamana hiyo thaman ya bitcoin huwa inatangazwa na TBC?
Duh! Wanaonunua ni Matajiri wakubwa sana,
Inamana hiyo thaman ya bitcoin huwa inatangazwa na TBC?
Kwahiyo Mkuu,,process za kuinunua inakuaje na Najuaje kama leo imepanda au kushuka,,, na kuiuza naiuza vipi Mkuu ,,Hahaa sio lazima ununue nzima mkuu unaweza nunua 0.0004 btc ambayo kama Tsh 12000/= hivi...
Hapana mkuu haitangazwi na TBC.
Dawa ni kufanya kazi tu, hizo shortcut hazipo.Wiki mbili hizi kwa wenye angalau bit coin 1 naona mnalaza mpunga mnene hasa mlio nunua hadi mwanzoni mwa May.
Kitu mwanzoni mwa May kilikua 13m leo naona kimefika 22m.
Anyway wakati tunatabasam tukumbuke kuwa kuna kile kipindi kitu kinashukaga hadi 5m.
Hahaa sio lazima ununue nzima mkuu unaweza nunua 0.0004 btc ambayo kama Tsh 12000/= hivi...
Hapana mkuu haitangazwi na TBC.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh! Wanaonunua ni Matajiri wakubwa sana,
Inamana hiyo thaman ya bitcoin huwa inatangazwa na TBC?
Nani guarantor wa hiyo currency? Kila pesa lazima iwe backed up na real asset, mfano dhahabu nk.ni pesa kama ambavyo zilivyo pesa nyingine mfano dollar au Shilling system yake ya kupanda na kushuka thamani ni lle ile.
Inatumika zaidi katika bishara za kimtandao katika kuza na kununua bidhaa.
Tofauti yake na pesa nyingine ni kwamba yenyewe haina central bank.
Taarifa zake zote zinasimamiwa ma mfumo unao itwa blockhain.
Na haina note au coin ni electronic money huwezi kuwithdrawal kama ilivyo lazima uibadili kwenda pesa nyingine yenye noti na sarafu ili uweze itumia kwa matumizi ya kawaida.
Sema bitcoin in high flactuation,unaweza leo ukanunu ya bit coin 1 ambayo sawa na tsh 22m kesho ukashangaa thamani yake ineshuka hadi tsh 10m.
Ila wadau wake wanajuaga lini wanunue na lini wauze.
Kama ilivyo kwa pesa ya kawaida kunawale wanao uza pesa na kununua pesa.
Ila pia kuna wale wanao itumia.
Dawa ni kufanya kazi tu, hizo shortcut hazipo.
Jisajiri na wallet za bitcoin ushauri wacheki ramitano.mkuu naomba nipe muongozo namna ya kununua, i wanna step my foot inn!