Exformer
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 842
- 982
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana ku Withdraw au ndo zinakuwa kama pambo?
Kuna coin inaitwa Electroneum, hii unaweza nunua hadi vocha za tigo, voda, airtel na TTCL
In Vino Veritas (In Wine Lies the Truth)
Wallet ndio sawa na kufungua account local bitcoinKitambo sana ase,
Bitcoin anakutumia kwenye wallet yako iliyopo ndani Local bitcoin
Ahsante mkuuFungua account local bitcoin na biashara mnafanya hapo hapo, ukimaliza kufungua unaweza kununua au kuuza bitcoin zako kwa mawakala utakao waona mfano ukitaka kununua unaenda kwenye Buy same ukitakaa kuuza ni Sell na wakala anayekua juu ndio anakua na bei nzuri japo uqmuzi ni wako kuchagua mtu unaye mtaka na kama ni mgeni Angalia wakala mwenye green dot manake yupo online kwaiyo mtafanya biashara haraka. Kulia wanakua na idadi ya miamala waliyofanya na percent za reputation walizopata baada ya huduma kwaiyo utajua ni yupi anaaminika...Mambo ni mengi siwezi kumbuka yote mana nilifanya nyuma kidogo hapo ila pia ukishatuma hela na bitcoin zako zikiwa hazijafika unaweza kuchat na muuzaji kwenye wall zao.
Nimeweza mkuu,Umeweza?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo haraka mnazotaka ndizo zinawafanya mnatapeliwa.
Kuna vitu vinahitaji mtu upate maarifa ya kina kabla hujaingia na moja wapo ni hii Cryptocurrency.
Mbona vijembe jamani! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Acha majibu ya ngebe kijana..nilidhani una kitu utaelewa kumbe unamangangamanga tu juu ya hii technology adhimu. Unadhani unaijua Cryptocurrency vizuri kuzidi team ya financial advisor wa bill gate? Iliyomshauri awekeze mamilion kwenye Bitcoin? Na other altcoins?
Punde nitaandika hapa kidogo simple but informative kuihusu Bitcoin achana na maessay yako ya kizamani marefu kama tamthilia ya isidingo.
Nimepitia makala zako nyingi yenye replies nyingi ni 69 zingine zote hazifiki reply 20. Kwanini unaandika kizamani wewe kocha sijui kocha wa timu gani? Ukitaka kuandika makala ndefu jifunze skills and techniques za modern writings zenye kuvutia na kuchochea hamu ya kuendelea kusoma article kuna watu kibao hapa bongo wanaondika makala simple zenye namna ya kukufanya uendelee kusoma andishi husika hadi mwisho bila kujalisha content ikoje. Kocha ukiendelea kuandika kama mwandishi wa Rai au Mzalendo ya mwaka 47 utajikuta unasoma na kujijibu mwenyewe thread zako hapa JF maana you don't fit in this Era readers world.
Point. [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Sioni sababu ya kumponda mtoa mada kwa kuandika kuhusu kitu ambacho pengine watu wengi walikuwa hawana uelewa nacho na kimewasaidia. Ni bora zaidi kuliko wewe uliye na maarifa makubwa na hujatushirikisha hapa.