Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Huyo uliyemweka dp "Elon" 110 Billion Dollars ni from stock and options. Sasa wewe kuwa close minded na mambo yanakupita kwa ku-crame kwamba trading in crypto ni fraud.vijana fanyeni kazi za tangible things . Huko kwenye maforex huko mnatapeliwa tu.
[emoji16]Thank God sina mindset ya kukata tamaa kama yako. Sorry naomba kuuliza, do u even achieve anything great in your life with this pessimist mindset of yours?Utapoteza mda narudia utachoma pesa narudia usilo lijua wachie yanga na simba wewe baki namungo FC
I don't need Forex mimi naulizia tu crypto... nataka invest and not trade on a daily basis, damn why is it so hard to get any positive ideas on the forum these days, anyways ahsante kwa mchango...Crypto na Forex inabidi uwe na akili zinachemka sio unajua kushabikia Man U na Arsenal ndio uje uwe successful kwenye hizo kazi. Watu wenye akili na wanaosoma sana ndio angalau hawatopata hasara, faida haiko guaranteed.
tumia laini ya safari com pesa kenya itakusaidia maana bongo bado vitu vingiUmeweza vipi ku deposit credit card kwenye Biance account, mimi kwangu inakataa, inasema kutokana na nchi yangu card is not supported.View attachment 1756188
Jambo usilolijua ..... maliziaaa mwenyewe engineerHuo ni utapeli asilimia 100
We ushaiva? If umeiva njoo nipigishe ww nkulipe mkuuNgebo
Nenda udemy kaka search mtu mmoja anaitwa george levy, ana course nzuri sana za stocks market and cryptocurrency.
Amenisaidia sana, kama hutojali fee yake ni usd 11 tu kwa kila course.
Thank me later.
poa bob nimekusoma ngojea nifanye huo mchakato leo leo shukrani..It's not about money Ngebo
Hii ni kuhusu na materials utakua na access ya lifetime na updates ya vitu vipya huwa wanafanya.
In case umesahau kitu unaweza pitia na kucheki tena.
George levy course zake hazizidi masaa matatu tu
Thanks
Wewe ni mjinga! Hujui ulisemalo. Rudi darasani ujifunze!Huo ni utapeli asilimia 100
Inakuwa shida kivipi mkuu? Labda jaribu kushare experience tujue beforw hatujaingia hukoNi mtihani ku cashout