Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Utapoteza mda narudia utachoma pesa narudia usilo lijua wachie yanga na simba wewe baki namungo FC.
 
Utapoteza mda narudia utachoma pesa narudia usilo lijua wachie yanga na simba wewe baki namungo FC
[emoji16]Thank God sina mindset ya kukata tamaa kama yako. Sorry naomba kuuliza, do u even achieve anything great in your life with this pessimist mindset of yours?
 
Crypto na Forex inabidi uwe na akili zinachemka sio unajua kushabikia Man U na Arsenal ndio uje uwe successful kwenye hizo kazi. Watu wenye akili na wanaosoma sana ndio angalau hawatopata hasara, faida haiko guaranteed.
I don't need Forex mimi naulizia tu crypto... nataka invest and not trade on a daily basis, damn why is it so hard to get any positive ideas on the forum these days, anyways ahsante kwa mchango...
 
Umeweza vipi ku deposit credit card kwenye Biance account, mimi kwangu inakataa, inasema kutokana na nchi yangu card is not supported.
Screenshot_20210419-095617.jpg
 
Safari com naomba nielekeze zaidi mkuu, naweza ku link vipi. Cause tayari nilishafanya registration ila shida ni kwenye ku connect na Debt card ili nifanye deposit
 
Ngebo
Nenda udemy kaka search mtu mmoja anaitwa george levy, ana course nzuri sana za stocks market and cryptocurrency.

Amenisaidia sana, kama hutojali fee yake ni usd 11 tu kwa kila course.

Thank me later.
 
We ushaiva? If umeiva njoo nipigishe ww nkulipe mkuu
 
It's not about money Ngebo
Hii ni kuhusu na materials utakua na access ya lifetime na updates ya vitu vipya huwa wanafanya.

In case umesahau kitu unaweza pitia na kucheki tena.

George levy course zake hazizidi masaa matatu tu

Thanks
 
poa bob nimekusoma ngojea nifanye huo mchakato leo leo shukrani..
 
Back
Top Bottom