Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

Kwa hii pc uliyo izungumzia hapa inaweza kucheza gta v.?
hapana haiwezi ila core 2 quad inaweza zipo za q8400 kwa chini ya laki 2 au around 270,000 na monitor yake lakini utahitaji graphics card hivyo andaa laki 1 au 2 tena kwa ajili ya hi gpu.
 
Kwa hiyo mkuu ilimladi napenda kucheza game kwenye PC yangu sharti ni download hizo zote softwares kwenye PC yangu?
 
Kwa hiyo mkuu ilimladi napenda kucheza game kwenye PC yangu sharti ni download hizo zote softwares kwenye PC yangu?
mkuu hizo ni dependence za game kama game halifunguki linaleta error kama mcv100.dll is missing ujue utakuwa unamiss moja ya hizo software.
 
Hiv km pc yako haina vigezo ambavyo game fulan inayoo naweza kuicheza pia mfanoo

Game inataka processor 2. 6 afu yangu n 2. Inakuaje hapoo
 
Hiv km pc yako haina vigezo ambavyo game fulan inayoo naweza kuicheza pia mfanoo

Game inataka processor 2. 6 afu yangu n 2. Inakuaje hapoo
ghz hazina maana kama unafananisha architechture tofauti. mfano skylake processor ya 2ghz ina speed kubwa kushinda hata 4ghz ya core 2 duo.

hivyo hapo inabidi uangalie
1. hilo game linataka 2.6ghz ya processor ipi
2. computer yako ina 2ghz ya processor ipi

halafu unafanya comparison ndio utajua.

kama processor yako haijakidhi vigezo game litakuwa slow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…