Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

Hawajaandika Nchi mkuu so na assume ni USA.

Tafuta vpn yoyote ya browser kama Firefox install kisha tengeneza Account ya Hotmail/live/outlook kama upo Usa, kisha login kwenye Xbox fuata maelekezo ku redeem hio code yako
Nikiweka inanipa option ya kuadd cards
 
Asante sana mkuu Ubarikiwe sana
 
hapana haiwezi ila core 2 quad inaweza zipo za q8400 kwa chini ya laki 2 au around 270,000 na monitor yake lakini utahitaji graphics card hivyo andaa laki 1 au 2 tena kwa ajili ya hi gpu.
Mkuu Chief-Mkwawa nahitaji kuanza kucheza game za laptop kwa kutumia controller, Ni controller gani nzuri zinahitajika? napenda games za racing na za kivita kama PUBG.
 
Mkuu Chief-Mkwawa nahitaji kuanza kucheza game za laptop kwa kutumia controller, Ni controller gani nzuri zinahitajika? napenda games za racing na za kivita kama PUBG.
Bila kujali budget Controller za Xbox one ni nzuri zaidi, zinakua wireless kwa Bluetooth, na zina support games zote native, huhitaji kuweka software yoyote. Bei ni 100K+ mpya na around 70K mtumba. Kama budget haifiki huku around 30K unaweza pata za Xbox 360 za waya.

Kwa budget ndogo controller ambazo ni both wireless/waya ni ya ps3, hadi 15,000 unaipata, sema hii sio plug and play utahitaji uweke drivers.
 
Asante mkuu, nimeona pinduoduo kuna controller zinauzwa za X one maalumu kwa ajili ya laptop, ila zinakuwa na kitu kama flash disk pamoja, ndio hiyo driver unaongelea?
 
Sema pinduo naona kunanichanganya sana, Controller ni nyingi sana na tofauti ya bei ni kubwa sana sana, hata sijui nichague ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…