M Mkono Mmoja JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 3,359 Reaction score 6,568 May 27, 2023 #1 shalom shalom Tusipangiane ipi timu ya kuishabikia, suala la uzalendo halipo kwangu. Natanguliza salamu za heri kwa timu ya USM Alger katika mbungi itakayopigwa hapo kesho.Kila la heri katika kulisaka taji la kombe la shirikisho hapo kesho.
shalom shalom Tusipangiane ipi timu ya kuishabikia, suala la uzalendo halipo kwangu. Natanguliza salamu za heri kwa timu ya USM Alger katika mbungi itakayopigwa hapo kesho.Kila la heri katika kulisaka taji la kombe la shirikisho hapo kesho.