Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Utapoteza hela yako,senegal nao sio wazuri kihivyo,kwa mistake za starz walitakiwa wawe washatia 4 kwenye nyavuNipo online meridian bet
Hahaha nataka nitie laki
Kwaiyo nisubiri subiri zipande odds
nimtie senagal
Kwnn tusiweke watu wasijulikana tushinde hii gameMuda huu mechi kati ya Tanzania na Senegal inaendelea, wale tunaoangalia hii mechi mimi naona uchezaji wa timu yetu si mzuri maana rafu za ovyo na kujikanganya kwingi. Amunike anatufaa?
Anasugua benchi azam hukoZaidi ya kukata viatu sijaona mpira Tanzania. Wasituumizie Mbaye Niang wetu jamani. Senegal inategemea kufika final. Mwantika anabore hadi refa aliamua kumfokea. Mwantika anachezea team gani hapa Bongo?
Wakomae Mara ngapi Wote ni watu wazima mule uwanjani..Tusilaumu timu yetu bado inajijenga.Hatakama wakifungwa ila ndo wanazidi kukomaa.
Ha ha ha, yupo Azam ingawa hata huko hachezi mara kwa mara!Zaidi ya kukata viatu sijaona mpira Tanzania. Wasituumizie Mbaye Niang wetu jamani. Senegal inategemea kufika final. Mwantika anabore hadi refa aliamua kumfokea. Mwantika anachezea team gani hapa Bongo?
Namaanisha hao mabeki wa senegal unavifahamu viwango vyao na timu wanazochezaSijaelewa
mabadiliko yakatiba yanahusika hapa siet wajamani
Hii nchi upumbavu kila kona
Taifa stars wameshashiriki Afcon mara ngapi?ukilinganisha na Senegal?Wakomae Mara ngapi Wote ni watu wazima mule uwanjani..
Awa jamaa wanakatisha hata stimu za kuishabikia hii team yetu ya taifa.. ovyo sana