Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kwanza maumbo ya simba wa teranga ni kama wanacheza na under 10 (U10)pili kisoka senegal wametuzidi sana tusitafute mchawi almuhimu ni kujifunza zaidi na kurekebisha mapungufu yetu. Mpira si kutamani tu kushinda bali ni uwekezaji sahihi wa muda mrefu na subra ikiwa na mipango endelevu na madhubuti
 
Muda huu mechi kati ya Tanzania na Senegal inaendelea, wale tunaoangalia hii mechi mimi naona uchezaji wa timu yetu si mzuri maana rafu za ovyo na kujikanganya kwingi. Amunike anatufaa?
Kwnn tusiweke watu wasijulikana tushinde hii game
 
Ipo siku...teh teh teh
IMG_20190623_205826.jpg
 
Zaidi ya kukata viatu sijaona mpira Tanzania. Wasituumizie Mbaye Niang wetu jamani. Senegal inategemea kufika final. Mwantika anabore hadi refa aliamua kumfokea. Mwantika anachezea team gani hapa Bongo?
Anasugua benchi azam huko
 
bongo nyoso feitoto hastahili hata kukaaa benchi
 
Tusilaumu timu yetu bado inajijenga.Hatakama wakifungwa ila ndo wanazidi kukomaa.
Wakomae Mara ngapi Wote ni watu wazima mule uwanjani..

Awa jamaa wanakatisha hata stimu za kuishabikia hii team yetu ya taifa.. ovyo sana
 
Zaidi ya kukata viatu sijaona mpira Tanzania. Wasituumizie Mbaye Niang wetu jamani. Senegal inategemea kufika final. Mwantika anabore hadi refa aliamua kumfokea. Mwantika anachezea team gani hapa Bongo?
Ha ha ha, yupo Azam ingawa hata huko hachezi mara kwa mara!
 
Nadhani timu yetu pia itaongoza kwa nidhamu mbovu..rafu za kipuuzi...halafu Leo ndio utadhihirika ule ukurukupaji wa kocha kwenye kupanga kikosi..fei toto anababaika..na hii game naona kabisa kadi nyekundu inanukia kwetu...😂😂
 
Wakomae Mara ngapi Wote ni watu wazima mule uwanjani..

Awa jamaa wanakatisha hata stimu za kuishabikia hii team yetu ya taifa.. ovyo sana
Taifa stars wameshashiriki Afcon mara ngapi?ukilinganisha na Senegal?
 
Back
Top Bottom