Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumetwangwa la pili bado mawili tena kwa kuhurumiwa sana. Safi sana Senegal endelea kuliumiza litimu la kokoto
 
Mkuu watu wanaongea tu hapa hawawajui vizuri hawa jamaa kwa kulinganisha na wachezaji wetu,
Hadi hapa wamejitahidi kwa kweli.

Vipi wangekua ndiyo Uganda! Na wenyewe wangecheza na hawa Senegal kwa kiwango kama cha hii timu yetu?
 
Dakika ya 67
Mabadiliko Kocha Emmanuel Amunike anamtoa Simon Msuva out Thomas Ulimwengu in
Senegal 2 - 0 Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…