respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,842
Tutashuhudia mengi Leo!Hii mechi ikiisha unahitaji kupima vidonda cha tumbo... khaaaaa....!!
Wachezaji wamelegea utadhani mlenda, wanauogopa mpira utafikiri zirail mtoa roho.. daaah
Hii mechi ikiisha unahitaji kupima vidonda cha tumbo... khaaaaa....!!
Wachezaji wamelegea utadhani mlenda, wanauogopa mpira utafikiri zirail mtoa roho.. daaah
CCM tupo pamoja nanyi!
Wametukamata hadi dakika hizi
Kuchanganyikiwa na kupaniki plus ubahatishajiKulikua na haja gani ya kumuacha Mwantika mara ya kwanza,kamrudisha halafu kamuanzisha kama mchezaji tegemeo?
Ndo maana mimi nkasema naangalizia kwangu, ili mambo yakivurugika nihamishe channel faster.