Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Amunike katika ubora wake! Unamuacha Erasto Nyoni nje, halafu unamuanzisha Fei toto! Mimi ni Yanga damu, ila kumuanzisha mchezaji asiye na uzoefu na mechi nyingi za kimataifa, ni sawa na kucheza kamari!

Kwa aina hii ya mpira, hadi ifikie dakika ya 90, tutakuwa tumefungwa goli nyingi! Mungu atuepushe na hii dhahama! Upangaji wa timu una walakini ingawa mimi si Amunike.
 
Sio ushabiki ila Nyoni kama sio majeruhi kulikuwa hakuna haja ya kutomuanzishaa
 
Kila la kheri Stars, nasubiri matokeo ya aina yoyote nitayapokea kwa furaha
 
Back
Top Bottom