Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Zaidi ya kukata viatu sijaona mpira Tanzania. Wasituumizie Mbaye Niang wetu jamani. Senegal inategemea kufika final. Mwantika anabore hadi refa aliamua kumfokea. Mwantika anachezea team gani hapa Bongo?
Safi sana Msenegali mwenzangu ngoja tuyapige haya mapoyoyo yarudi tz kupambana na viwanda hewa vyao.
 
images (1).jpeg
 
Muda huu mechi kati ya Tanzania na Senegal inaendelea, wale tunaoangalia hii mechi mimi naona uchezaji wa timu yetu si mzuri maana rafu za ovyo na kujikanganya kwingi. Amunike anatufaa?
Taifa Stars wanafeli wapi? Yaani MANULA tu ndio Nyota wa Mchezo wengine wote wanambwela,SAMATA haonekani kabisa.
 
Tanzania tunatia aibu wachezaji hawana nidhamu yakiuchezaji kila mtu anacheza rafu tu
Kwani tulikuwa tunatalajia makubwa ?zaidi ya hapo kama utatokea uzembe upande wa Senegal ndo tuna weza shinda au droo .Uganda wana fanya vizuri timu yao ime anza kuandaliwa tangia 2003 Leo ndio matokeo yake wako wapi dyoc(dar es salaam youth Olympic center) waliokuwa na wachezaji kama ramadhani Redondo chombo,ambokile George sozigwa ,Johannes kajuna na yusuph soka,madale manganda,zulu gama,wako wapi wakati kuna wachezaji wa Uganda Leo hii wapo national team ya Uganda wao wako wapi wakati miaka ya 2000-2005 walikuwa wanakutana kwenye mashindo ya Tivoli cup,gothia cup nchini Denmark na Sweden .wakati Rooney, adebayol na Michael Owen wana tuzo za most valuable prayers Mara moja lakini mtanzania ambokile George sozigwa amechukua zaidi ya Mara moja katika mashindo ya vijana katika nchi za Denmark na Sweden miaka ya 2000-2005 wako wapi hao watu ?
 
Sioni matumaini yoyote kipindi cha pili Senegal bado wana dominate kila kitu ktk dakika hizi za mwanzo kipindi cha pili.
 
Back
Top Bottom