Tumeshtuka Mapema hatutakiiLeo nyinyi wa kumuombea Dua man u 😂😂😂
Tumegoma hatutakii😀nime azima na jezi kabisa leo mimi ni mbuemo 😅
Daah kweli unajitoa vyote hivi kwaajili ya kutetea nafasi ya pili ya epl 😂😂😂msiwe hivyo sisi ni ndugu, na leo tumeamua kuwa upande wa ndugu yetu 😁
Naenda barber shop sasa hivi kupiga para niwe mbuemo 😎
Epl ya kwetu msimu huu😎Daah kweli unajitoa vyote hivi kwaajili ya kutetea nafasi ya pili ya epl 😂😂😂
Mimi Aseninyosecretarybird we timu Gani kiongozi