Kila la kheri Manchester United katika mechi dhidi ya Liverpool Nafasi ya 11 sio hadhi yenu!

Kila la kheri Manchester United katika mechi dhidi ya Liverpool Nafasi ya 11 sio hadhi yenu!

Karibuni Man U kwenye top 10. Kazaneni msitoke tena. Pia hongereni kwa kuvunja record tokea 2016 hamjamfunga Liver kwake
IMG_0169.jpeg


Sasa wanaume tumekaa vizuri kileleni.
IMG_0170.jpeg


Nani wa kututoa hapo juu?
 
Back
Top Bottom