Tushazoea kufungwa watuache hivo hivoTangu lini Aseno mmeanza uzalendo hatutakiii min -me njoo kwanza
😂😂😂 wanatia hurumaChica aseno hata sio timu ya kuizungumzia
Na tunaipenda hivyo hivyo, kwanza tunashinda tukijisikia 😀Tushazoea kufungwa watuache hivo hivo
wasitupe presha bure sisi tunacheza kwa afyaNa tunaipenda hivyo hivyo, kwanza tunashinda tukijisikia 😀
Kabisa watuache tuenjoy na timu yetu pendwa 😊wasitupe presha bure sisi tunacheza kwa afya
Gee unazingua wewe ety mnashinda mkijisikia 😂😂😂😂😂😂😂😂 arudi kwenye Aseno yake
Si ndiyo, Sisi tushinde au tufungwe mtatuongelea tuGee unazingua wewe ety mnashinda mkijisikia 😂😂😂😂😂
Hatuongei na watu hawana kombe kubwa😂😂😂 wanatia huruma
😅😅😅 daah nimecheka sanaHatuongei na watu hawana kombe kubwa
Mna jikutaga manabii uchwara au sio 😂Ni rahisi mvua kunyesha toka aridhini kuelekea mawinguni kuliko Man Utd kumfunga Liver au kuambulia hata sare tu.