Kila mdada mwenye makalio makubwa ana huyo rafiki yake mwembamba mwenye mdomo sana

Kisa maneno yangu?
Basi hizo meditation hazikusaidii kitu kama unababaika na maneno yangu.
Duh meditation haipo kwa ajili ya kudidimiza hisia ndio maana wengi mnafeli.
 
Hata kama ni bure hapana. Kina mgogoro tayari aisee. Kama kuna kingine mahali hakina ishu nitonye. Niko tayari kwa ujenzi ndani ya mwaka huu huu ikiwezekana. Sema viwanja ndo shida!
Tatizo nikitoa kiwanja yatanikuta...oooh itakuwa unakimiliki...unajua vyema mimi askofu mtarajiwa ni mdomo tu utekelezaji zero😂
 
Yaani nimejikuta namaliza mpaka page ya mwisho hata sijui cha maana ni kipi

Upuuzi tu

Enewei, nyie ndizi mshale, muachage kuwa mnashtua ndizi Bukoba tuzikamue tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…