tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Huyo lazima wazazi wake n8 wanaccmHuyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali.
Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa.
Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida, kuna muda nawawa naona kama ana zero IQ point vile, mana muda mwingine hata mwaswali anayoniuliza nacheka tu
Wakuu, there is more factors than love on marriage. Be wise.
Hawa wazuri wawe wa pembeni tu, akili iwe ndo kigezo kikubwa.
HahaaHuyo lazima wazazi wake n8 wanaccm
Uzuri wa mkakasi ....Kuna mmoja nilikua nikitoka nae nje, watu wanatutazama sana, mana alikua pisi kali kweli kweli,
Cha ajabu tukiwa ndani nilikua sina furaha, ni mzuri ila alikua mkorofi sana, anataka yeye akiongea umsikilize, ila wewe ukiongea hana habari, pia alikua ni kupenda gossip.
Mbaya zaidi alikua aliamini sana hawa makungwi wa mtandaoni, yani kile we unaona ni ujinga yeye anakifanya kama fact, inahort alikua haishi katika uhalisia, niliamua kuachana nae.
Wengi waliona kama nimemuacha binti mzuri lakini inside out mimi ndo najua, lile ni balaa, na ningempa mimba ndo ningejuta zaidi maishani mwangu
Yeah tumpe muda huyoHuwezi kuelewa kwa sasa.....
Dakika 7 mbele huyodepartment ya kichwani ni kama kuna shida, kuna muda nawawa naona kama ana zero IQ point vile
Huyo alienae mtoa mada ndo mzuri...maana ukitaka kunyandua (na ndio lengo kuu la ndoa) unashika tu kama kuku...Mbona wazuri na wenye akili wapo kibao. Wewe tu mchagua nazi pambana na koroma lako
Siku zote mwanzo wake unakuwa unafurahia lakini kadri muda unavyokwenda unakuja kugundua kuwa umepata mshindani badala ya mke....hata yale mambo mepesi yanayotaka utekelezaji yatazaa mjadala kama bunge la bajeti........Yeah tumpe muda huyo
Mwanamke anayeleta challenges sana hakawii kuwa mshindani wako kwenye ndoa Amani ya moyo utaitafuta nje
nimeipenda hiiSio mke anajua kila kitu mpaka mnabishana mambo ya vita vya Ukraine na Russia mara mke anachambua bajeti na kamati za bunge.....mke anatakiwa awe na kaujinga flani.....
mwaswali ndio nini,wewe na yeye mpo akili sawaHuyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali.
Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa.
Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida, kuna muda nawawa naona kama ana zero IQ point vile, mana muda mwingine hata mwaswali anayoniuliza nacheka tu
Wakuu, there is more factors than love on marriage. Be wise.
Hawa wazuri wawaswali ndio nini?we wa pembeni tu, akili iwe ndo kigezo kikubwa.
Nimejifunza kitu hapa, inaonekana hakuna perfection ya mke coz unachokiona wewe kuwa ndo sifa yenye uzito zaidi ya mke ni tofauti na mwenzako, yote ni kulingana na kila mmoja mke wake amekosa nini.Bwana mdogo nakuambia kwa herufi kubwa
HUYO NDIO MKE.....AMETOSHA NAFASI YAKE MKE.....
Kujadiliana na mke masuala mazito ya nje ya nje ndoa kunapunguza upendo baina yenu ingawa wengi kwa haraka hawawezi kuliona hili mpaka mambo yaharibike......
Ndoa nyingi zinavunjika kwa wanandoa kutochunga mipaka baina yao na wake zao......hakikisha mke anabakia kwenye nafasi yake ya mke........ mengine yawe kama ziada.......
Sio mke anajua kila kitu mpaka mnabishana mambo ya vita vya Ukraine na Russia mara mke anachambua bajeti na kamati za bunge.....mke anatakiwa awe na kaujinga flani.....
mkuu hayo madudu ni part ya familia yako mbona wewe una madhaifu yeye ana vumilia?Huyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali.
Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa.
Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida, kuna muda nawawa naona kama ana zero IQ point vile, mana muda mwingine hata mwaswali anayoniuliza nacheka tu
Wakuu, there is more factors than love on marriage. Be wise.
Hawa wazuri wawe wa pembeni tu, akili iwe ndo kigezo kikubwa.
ahahahahhaha sjui ni Ex wangu ndo kaandika hii comment!Nilioa mwenye akili zake akaishia kunitoa kamasi sio kwa hoja na fakiti zake nilijikuta najiona zoba tu .
Aisee Mimi tako linatosha kuoa kabisa
Njoo pm naweza nikawa ndiye ,ila nakukumbuka ulivyokuwa unapenda eti niongee kwa point na kutetea hoja utadhani tupo kwenye mdahalo muda huo tupo uchiahahahahhaha sjui ni Ex wangu ndo kaandika hii comment!
AHAHAHAHHHAHAHAHA no comment!Njoo pm naweza nikawa ndiye ,ila nakukumbuka ulivyokuwa unapenda eti niongee kwa point na kutetea hoja utadhani tupo kwenye mdahalo muda huo tupo uchi