Kuna mmoja nilikua nikitoka nae nje, watu wanatutazama sana, mana alikua pisi kali kweli kweli,
Cha ajabu tukiwa ndani nilikua sina furaha, ni mzuri ila alikua mkorofi sana, anataka yeye akiongea umsikilize, ila wewe ukiongea hana habari, pia alikua ni kupenda gossip.
Mbaya zaidi alikua aliamini sana hawa makungwi wa mtandaoni, yani kile we unaona ni ujinga yeye anakifanya kama fact, inahort alikua haishi katika uhalisia, niliamua kuachana nae.
Wengi waliona kama nimemuacha binti mzuri lakini inside out mimi ndo najua, lile ni balaa, na ningempa mimba ndo ningejuta zaidi maishani mwangu