Kila mke wangu akifanya madudu, namkumbuka Ex wangu alikua na akili nikamuacha maana hakua mzuri

Kila mke wangu akifanya madudu, namkumbuka Ex wangu alikua na akili nikamuacha maana hakua mzuri

Huyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali.

Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa.

Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida, kuna muda nawawa naona kama ana zero IQ point vile, mana muda mwingine hata mwaswali anayoniuliza nacheka tu

Wakuu, there is more factors than love on marriage. Be wise.
Hawa wazuri wawe wa pembeni tu, akili iwe ndo kigezo kikubwa.
Huyo lazima wazazi wake n8 wanaccm
 
Huyo anaewaza ngono muda wote si ndio mzuri mkuu?..ebu nipasie mimi hapa nimfaidi.
 
Kuna mmoja nilikua nikitoka nae nje, watu wanatutazama sana, mana alikua pisi kali kweli kweli,

Cha ajabu tukiwa ndani nilikua sina furaha, ni mzuri ila alikua mkorofi sana, anataka yeye akiongea umsikilize, ila wewe ukiongea hana habari, pia alikua ni kupenda gossip.

Mbaya zaidi alikua aliamini sana hawa makungwi wa mtandaoni, yani kile we unaona ni ujinga yeye anakifanya kama fact, inahort alikua haishi katika uhalisia, niliamua kuachana nae.

Wengi waliona kama nimemuacha binti mzuri lakini inside out mimi ndo najua, lile ni balaa, na ningempa mimba ndo ningejuta zaidi maishani mwangu
Uzuri wa mkakasi ....
 
Wazee tilipo sema uzuri wa mwanamke ni tabia, hauku tusikiliza..teh🤣
 
This creation makes all kinds of unique idiots, if you understand your one kind of idiot and others set kind of idiots, you will understand. no one size fits all
 
Ni kweli.. baadhi ya Wanawake si wa kuoa ni wa kupiga na kutembea..

Mie pia nina complete package yangu ingaw ina changamoto ya attitude flan flan.. uzur kakutanq na KISIKI cha MPINGO naenda nae JINO kwa JINO.
 
Yeah tumpe muda huyo

Mwanamke anayeleta challenges sana hakawii kuwa mshindani wako kwenye ndoa Amani ya moyo utaitafuta nje
Siku zote mwanzo wake unakuwa unafurahia lakini kadri muda unavyokwenda unakuja kugundua kuwa umepata mshindani badala ya mke....hata yale mambo mepesi yanayotaka utekelezaji yatazaa mjadala kama bunge la bajeti........
 
Huyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali.

Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa.

Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida, kuna muda nawawa naona kama ana zero IQ point vile, mana muda mwingine hata mwaswali anayoniuliza nacheka tu

Wakuu, there is more factors than love on marriage. Be wise.
Hawa wazuri wawaswali ndio nini?we wa pembeni tu, akili iwe ndo kigezo kikubwa.
mwaswali ndio nini,wewe na yeye mpo akili sawa
 
Bwana mdogo nakuambia kwa herufi kubwa

HUYO NDIO MKE.....AMETOSHA NAFASI YAKE MKE.....

Kujadiliana na mke masuala mazito ya nje ya nje ndoa kunapunguza upendo baina yenu ingawa wengi kwa haraka hawawezi kuliona hili mpaka mambo yaharibike......

Ndoa nyingi zinavunjika kwa wanandoa kutochunga mipaka baina yao na wake zao......hakikisha mke anabakia kwenye nafasi yake ya mke........ mengine yawe kama ziada.......

Sio mke anajua kila kitu mpaka mnabishana mambo ya vita vya Ukraine na Russia mara mke anachambua bajeti na kamati za bunge.....mke anatakiwa awe na kaujinga flani.....
Nimejifunza kitu hapa, inaonekana hakuna perfection ya mke coz unachokiona wewe kuwa ndo sifa yenye uzito zaidi ya mke ni tofauti na mwenzako, yote ni kulingana na kila mmoja mke wake amekosa nini.

Mi nadhani tabu inaanzia na kuwa na mahusiano mengine kabla ya ndoa. Ukiwa ulikutana na jambo moja ulilolifurahia kule na ikatokea huku unalikosa tataizo linaanzia hapo bila kujali yule wa mwanzo alikuwa na mapungufu gani.

Mfano mleta mda aliachana na X wake na akamuoa huyu wa sasa, wakati ule kilichokuwa na uzito kwake ni kile alichokosa yule wa mwanzo na huyu wa sasa anacho, ila sasa tatizo limekuwa vice versa.

Just tutambue kuwa watu hawapo sawa, jua nini ni kipaumbele chako kabla ya kuanza mahusiano, Oa mwanamke mwenye hizo sifa na ikitokea ana mapungufu makubwa (madhaifu yasiyokuwa makosa) basi Oa mke mwengine kwa kile unachokitamani bila ya kumuacha yule wa mwanzo. Ukitimiza wanne hakutakuwa na unachotamani zaidi, otherwise wewe ndo tatizo. Ikiwa dini yako hairuhusu mke zaidi ya mmoja then atleast limit experience yako kwa yule ulionae tu, no previous experience and no additional experience baada yake, hii itakupunguzia msongo wa mawazo coz if u don't know what u r missing then u r not missing anything.
 
Huyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali.

Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa.

Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida, kuna muda nawawa naona kama ana zero IQ point vile, mana muda mwingine hata mwaswali anayoniuliza nacheka tu

Wakuu, there is more factors than love on marriage. Be wise.
Hawa wazuri wawe wa pembeni tu, akili iwe ndo kigezo kikubwa.
mkuu hayo madudu ni part ya familia yako mbona wewe una madhaifu yeye ana vumilia?
 
Back
Top Bottom