Kila Mtanzania anadaiwa takriban Tshs. Milioni 1.66 kutokana na deni la Taifa

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
"Mama hana deni" kwa hiyo sisi ndo tuna deni?. Hizi hela zinazokopwa na kuambiwa sisi Wananchi ndo tunadaiwa huwa zinaenda wapi jamani, mkeka wa matumizi ya fedha kwenye miradi hauwekwi wazi tunaambiwa tu kuna miradi imefanyika. Tunataka kujua ni shing ngapi zimetumika?

photo_2025-06-12_16-54-41.jpg

Kufikia Machi 2025, deni la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi Shilingi trilioni 107.7 kutoka Shilingi trilioni 91.7 Machi 2024, ikiwa ni ongezeko la asilimia 14.9.

Kwa mujibu wa takwimu za idadi ya watu, kila Mtanzania sasa anadaiwa takribani Shilingi 1,668, 176.80.
Hii inatokana na ongezeko la idadi ya watu nchini kutoka 61,718,700 mwaka 2023 hadi kufikia watu 64,241,822 mwaka 2024, kwa mujibu wa makadirio ya Serikali.

Akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026 bungeni jijini Dodoma leo, Alhamisi Juni 12, 2025, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema ongezeko hilo la deni limetokana na Serikali kuendelea kupata mikopo mipya kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo ya kimkakati.
"Ongezeko la deni limetokana na Serikali kuendelea kupokea mikopo kutoka vyanzo mbalimbali ili kugharamia miradi mikubwa ya maendeleo, ikiwemo miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, nishati na maji," amesema Prof.
Mkumbo.

Aidha, Prof. Mkumbo amebainisha kuwa licha ya kuongezeka kwa deni, hali ya uchumi wa Taifa inaendelea kuimarika. Pato la Taifa kwa mtu (per capita) limeongezeka hadi wastani wa Shilingi milioni 3.2 mwaka 2024, kutoka Shilingi milioni 3.05 mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 4.8.
Hata hivyo, katika thamani ya Dola za Marekani, pato hilo limepungua kidogo kutoka USD 1,276.8 mwaka 2023 hadi USD 1,227.4 mwaka 2024, hali inayoweza kuhusishwa na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji wa fedha au mwenendo wa soko la kimataifa.
 
Tunakoelekea Kila mtanzania atakuwa tayari kuelekea Burundi bila kulazimishwa.

Nchi inatafunwa na wachache Tena Kuna ambao wanataka watambulike mtaani kwa kuwekea namba plate Maalum wajulikane kama waheshimiwa wapite kwenye foleni bila kupingwa,ila deni tunaambiwa la wote.
 
Itoshe tu kusema.

No Reforms no Election. 🧑‍🦯
 
"Mama hana deni" kwa hiyo sisi ndo tuna deni?. Hizi hela zinazokopwa na kuambiwa sisi Wananchi ndo tunadaiwa huwa zinaenda wapi jamani, mkeka wa matumizi ya fedha kwenye miradi hauwekwi wazi tunaambiwa tu kuna miradi imefanyika. Tunataka kujua ni shing ngapi zimetumika?

Kufikia Machi 2025, deni la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi Shilingi trilioni 107.7 kutoka Shilingi trilioni 91.7 Machi 2024, ikiwa ni ongezeko la asilimia 14.9.

Kwa mujibu wa takwimu za idadi ya watu, kila Mtanzania sasa anadaiwa takribani Shilingi 1,668, 176.80.
Hii inatokana na ongezeko la idadi ya watu nchini kutoka 61,718,700 mwaka 2023 hadi kufikia watu 64,241,822 mwaka 2024, kwa mujibu wa makadirio ya Serikali.

Akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026 bungeni jijini Dodoma leo, Alhamisi Juni 12, 2025, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema ongezeko hilo la deni limetokana na Serikali kuendelea kupata mikopo mipya kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo ya kimkakati.
"Ongezeko la deni limetokana na Serikali kuendelea kupokea mikopo kutoka vyanzo mbalimbali ili kugharamia miradi mikubwa ya maendeleo, ikiwemo miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, nishati na maji," amesema Prof.
Mkumbo.

Aidha, Prof. Mkumbo amebainisha kuwa licha ya kuongezeka kwa deni, hali ya uchumi wa Taifa inaendelea kuimarika. Pato la Taifa kwa mtu (per capita) limeongezeka hadi wastani wa Shilingi milioni 3.2 mwaka 2024, kutoka Shilingi milioni 3.05 mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 4.8.
Hata hivyo, katika thamani ya Dola za Marekani, pato hilo limepungua kidogo kutoka USD 1,276.8 mwaka 2023 hadi USD 1,227.4 mwaka 2024, hali inayoweza kuhusishwa na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji wa fedha au mwenendo wa soko la kimataifa.

Umeshaanza kulipa au unapayuka tu JF?
 
Kwahiyo unasema, kutoka mwaka 2021 kwa deni la trilioni 60 kufika 2025 tumefika trilioni 107.7?
  • Miaka 4 tumekopa trilioni 47.7?
  • Kati ya hizo, ngapi zimeenda SMZ?
  • Ngapi zimeingia mifukoni na ngapi zimeingia kwenye matumizi ya hovyo?

Trilioni 47 za mkopo, zinatosha kuijenga nchi kwa kiwango cha kutisha...trilioni moja ingeingia kila mkoa, hakuna nchi EA au majirani zetu 8 wangeweza kutugusa, tena kwa mbali sana!

Mnikumbushe, Jiwe alikopa ngapi jumla akina fudenge wakawa wanawaka?
 
Tukishalipa na wenyewe watafute dunia yao ya kwenda kuzitumbua hizo hela zote walizoiba.
 
"Mama hana deni" kwa hiyo sisi ndo tuna deni?. Hizi hela zinazokopwa na kuambiwa sisi Wananchi ndo tunadaiwa huwa zinaenda wapi jamani, mkeka wa matumizi ya fedha kwenye miradi hauwekwi wazi tunaambiwa tu kuna miradi imefanyika. Tunataka kujua ni shing ngapi zimetumika?

View attachment 3365872

Kufikia Machi 2025, deni la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi Shilingi trilioni 107.7 kutoka Shilingi trilioni 91.7 Machi 2024, ikiwa ni ongezeko la asilimia 14.9.

Kwa mujibu wa takwimu za idadi ya watu, kila Mtanzania sasa anadaiwa takribani Shilingi 1,668, 176.80.
Hii inatokana na ongezeko la idadi ya watu nchini kutoka 61,718,700 mwaka 2023 hadi kufikia watu 64,241,822 mwaka 2024, kwa mujibu wa makadirio ya Serikali.

Akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026 bungeni jijini Dodoma leo, Alhamisi Juni 12, 2025, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema ongezeko hilo la deni limetokana na Serikali kuendelea kupata mikopo mipya kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo ya kimkakati.
"Ongezeko la deni limetokana na Serikali kuendelea kupokea mikopo kutoka vyanzo mbalimbali ili kugharamia miradi mikubwa ya maendeleo, ikiwemo miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, nishati na maji," amesema Prof.
Mkumbo.

Aidha, Prof. Mkumbo amebainisha kuwa licha ya kuongezeka kwa deni, hali ya uchumi wa Taifa inaendelea kuimarika. Pato la Taifa kwa mtu (per capita) limeongezeka hadi wastani wa Shilingi milioni 3.2 mwaka 2024, kutoka Shilingi milioni 3.05 mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 4.8.
Hata hivyo, katika thamani ya Dola za Marekani, pato hilo limepungua kidogo kutoka USD 1,276.8 mwaka 2023 hadi USD 1,227.4 mwaka 2024, hali inayoweza kuhusishwa na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji wa fedha au mwenendo wa soko la kimataifa.
Mama hana deni tutalilipa sisi chawa
 
Trillion 100 ni zaidi ya nusu ya GDP ya Tanzania, na kwa interest ya 12% tunalipa zaidi ya trillions 12 kwenye interest tuu na ukiongeza principal + inflation ambazo ni nyingi zaidi basi tunalipa madeni in average of 3 trillions kila mwezi, sasa jiulize TRA inakusanya ngapi kila mwezi, nimesikia hazifiki 3 trillion, basically nchi imefilisika fanyeni research mtaelewa, na tunaishi kwa misaada tuu
 
Hilo deni ni sehemu ya muungano kwahiyo ligawe kwa pande mbili za muungano, halafu ndipo ugawanye kulingana na idadi ya watu kwa pande mbili za muungano.
 
"Mama hana deni" kwa hiyo sisi ndo tuna deni?. Hizi hela zinazokopwa na kuambiwa sisi Wananchi ndo tunadaiwa huwa zinaenda wapi jamani, mkeka wa matumizi ya fedha kwenye miradi hauwekwi wazi tunaambiwa tu kuna miradi imefanyika. Tunataka kujua ni shing ngapi zimetumika?

View attachment 3365872

Kufikia Machi 2025, deni la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi Shilingi trilioni 107.7 kutoka Shilingi trilioni 91.7 Machi 2024, ikiwa ni ongezeko la asilimia 14.9.

Kwa mujibu wa takwimu za idadi ya watu, kila Mtanzania sasa anadaiwa takribani Shilingi 1,668, 176.80.
Hii inatokana na ongezeko la idadi ya watu nchini kutoka 61,718,700 mwaka 2023 hadi kufikia watu 64,241,822 mwaka 2024, kwa mujibu wa makadirio ya Serikali.

Akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026 bungeni jijini Dodoma leo, Alhamisi Juni 12, 2025, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema ongezeko hilo la deni limetokana na Serikali kuendelea kupata mikopo mipya kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo ya kimkakati.
"Ongezeko la deni limetokana na Serikali kuendelea kupokea mikopo kutoka vyanzo mbalimbali ili kugharamia miradi mikubwa ya maendeleo, ikiwemo miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, nishati na maji," amesema Prof.
Mkumbo.

Aidha, Prof. Mkumbo amebainisha kuwa licha ya kuongezeka kwa deni, hali ya uchumi wa Taifa inaendelea kuimarika. Pato la Taifa kwa mtu (per capita) limeongezeka hadi wastani wa Shilingi milioni 3.2 mwaka 2024, kutoka Shilingi milioni 3.05 mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 4.8.
Hata hivyo, katika thamani ya Dola za Marekani, pato hilo limepungua kidogo kutoka USD 1,276.8 mwaka 2023 hadi USD 1,227.4 mwaka 2024, hali inayoweza kuhusishwa na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji wa fedha au mwenendo wa soko la kimataifa.
The world runs on debt,
 
Back
Top Bottom