😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ukilipa Wana top up so deni halitaisha
Hadi Mwisho wa mwaka June itakuwa ni mln 2 👇👇"Mama hana deni" kwa hiyo sisi ndo tuna deni?. Hizi hela zinazokopwa na kuambiwa sisi Wananchi ndo tunadaiwa huwa zinaenda wapi jamani, mkeka wa matumizi ya fedha kwenye miradi hauwekwi wazi tunaambiwa tu kuna miradi imefanyika. Tunataka kujua ni shing ngapi zimetumika?
View attachment 3365872
Kufikia Machi 2025, deni la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi Shilingi trilioni 107.7 kutoka Shilingi trilioni 91.7 Machi 2024, ikiwa ni ongezeko la asilimia 14.9.
Kwa mujibu wa takwimu za idadi ya watu, kila Mtanzania sasa anadaiwa takribani Shilingi 1,668, 176.80.
Hii inatokana na ongezeko la idadi ya watu nchini kutoka 61,718,700 mwaka 2023 hadi kufikia watu 64,241,822 mwaka 2024, kwa mujibu wa makadirio ya Serikali.
Akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026 bungeni jijini Dodoma leo, Alhamisi Juni 12, 2025, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema ongezeko hilo la deni limetokana na Serikali kuendelea kupata mikopo mipya kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo ya kimkakati.
"Ongezeko la deni limetokana na Serikali kuendelea kupokea mikopo kutoka vyanzo mbalimbali ili kugharamia miradi mikubwa ya maendeleo, ikiwemo miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, nishati na maji," amesema Prof.
Mkumbo.
Aidha, Prof. Mkumbo amebainisha kuwa licha ya kuongezeka kwa deni, hali ya uchumi wa Taifa inaendelea kuimarika. Pato la Taifa kwa mtu (per capita) limeongezeka hadi wastani wa Shilingi milioni 3.2 mwaka 2024, kutoka Shilingi milioni 3.05 mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 4.8.
Hata hivyo, katika thamani ya Dola za Marekani, pato hilo limepungua kidogo kutoka USD 1,276.8 mwaka 2023 hadi USD 1,227.4 mwaka 2024, hali inayoweza kuhusishwa na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji wa fedha au mwenendo wa soko la kimataifa.
Mabadiliko gani? Tuoneshe noa uliyopataEnzi za Magufuli, Apumzike kwa Amani, Alikuwa analeta Madili ambayo yangempatia Kila Mtanzania Noah Moja Moja. Watawala wa sasa wajipime na watanzania tuwapime.
NO Reform No Election
Kidumu chama cha Mapinduzi.
#Tanganyika Kwanza
Na wewe tafuta la kwakoNaona mi you tong tu inazidi kushuka.
Malipo ya deni Huwa yanapangwa kwenye Bajeti na Kwa Sasa Malipo yaliyopangwa ni Trilioni 12 Kwa mwaka.Trillion 100 ni zaidi ya nusu ya GDP ya Tanzania, na kwa interest ya 12% tunalipa zaidi ya trillions 12 kwenye interest tuu na ukiongeza principal + inflation ambazo ni nyingi zaidi basi tunalipa madeni in average of 3 trillions kila mwezi, sasa jiulize TRA inakusanya ngapi kila mwezi, nimesikia hazifiki 3 trillion, basically nchi imefilisika fanyeni research mtaelewa, na tunaishi kwa misaada tuu
Chaba na Dudukwaa nao huko porini, hilo deni linawahusu?
Umeshaanza kulipa au unapayuka tu JF?
Kwa hiyo tunalipa madeni 1.2 trillions kila mwezi in average, na mapato ni chini ya trillion 3 kila mwezi na mnakopa tena 15 trillions next year 😁, na hakuna mapato ya 40 trillions la sivyo tungekuwa na surplusMalipo ya deni Huwa yanapangwa kwenye Bajeti na Kwa Sasa Malipo yaliyopangwa ni Trilioni 12 Kwa mwaka.
Mwaka ujao watalipa Trilioni 14.5 lakini tutakopa tena 15T.
Mwisho Nchi haitegemei Mapato ya TRA pekee, Mapato ya ndani Kwa vyanzo vyote ni 40T.
Kukopa hakukwepeki Kwa sababu unapata hela nyingi Kwa mda mfupi na inatumika vizuri kukimbiza miradi badala ya kudunduliza hayo makusanyo.Kwa hiyo tunalipa madeni 1.2 trillions kila mwezi in average, na mapato ni chini ya trillion 3 kila mwezi na mnakopa tena 15 trillions next year 😁, na hakuna mapato ya 40 trillions la sivyo tungekuwa na surplus
Pesa ndogo sana hiyo wakope kope angalau tufikishe 30M kwa kila kenge😅"Mama hana deni" kwa hiyo sisi ndo tuna deni?. Hizi hela zinazokopwa na kuambiwa sisi Wananchi ndo tunadaiwa huwa zinaenda wapi jamani, mkeka wa matumizi ya fedha kwenye miradi hauwekwi wazi tunaambiwa tu kuna miradi imefanyika. Tunataka kujua ni shing ngapi zimetumika?
View attachment 3365872
Kufikia Machi 2025, deni la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi Shilingi trilioni 107.7 kutoka Shilingi trilioni 91.7 Machi 2024, ikiwa ni ongezeko la asilimia 14.9.
Kwa mujibu wa takwimu za idadi ya watu, kila Mtanzania sasa anadaiwa takribani Shilingi 1,668, 176.80.
Hii inatokana na ongezeko la idadi ya watu nchini kutoka 61,718,700 mwaka 2023 hadi kufikia watu 64,241,822 mwaka 2024, kwa mujibu wa makadirio ya Serikali.
Akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026 bungeni jijini Dodoma leo, Alhamisi Juni 12, 2025, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema ongezeko hilo la deni limetokana na Serikali kuendelea kupata mikopo mipya kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo ya kimkakati.
"Ongezeko la deni limetokana na Serikali kuendelea kupokea mikopo kutoka vyanzo mbalimbali ili kugharamia miradi mikubwa ya maendeleo, ikiwemo miundombinu ya barabara, reli, viwanja vya ndege, nishati na maji," amesema Prof.
Mkumbo.
Aidha, Prof. Mkumbo amebainisha kuwa licha ya kuongezeka kwa deni, hali ya uchumi wa Taifa inaendelea kuimarika. Pato la Taifa kwa mtu (per capita) limeongezeka hadi wastani wa Shilingi milioni 3.2 mwaka 2024, kutoka Shilingi milioni 3.05 mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 4.8.
Hata hivyo, katika thamani ya Dola za Marekani, pato hilo limepungua kidogo kutoka USD 1,276.8 mwaka 2023 hadi USD 1,227.4 mwaka 2024, hali inayoweza kuhusishwa na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji wa fedha au mwenendo wa soko la kimataifa.
Alifariki akielekea kutupatia Maziwa na Asali.Mabadiliko gani? Tuoneshe noa uliyopata
Alihitaji miaka mingapi Ili wewe upate noa,Maziwa na asali? Maana alishakaa miaka 6 madarakaniAlifariki akielekea kutupatia Maziwa na Asali.
Mafanikio Yake Ya Miaka Sita Huyu wa sasa hajafika hata robo.Alihitaji miaka mingapi Ili wewe upate noa,Maziwa na asali? Maana alishakaa miaka 6 madarakani