Kila Mtanzania anadaiwa takriban Tshs. Milioni 1.66 kutokana na deni la Taifa

Kila kitu mama amefanya sasa tukubaliane hili deni ni deni la mama.

Mama mitano, octoba tunaongeza mkopo
 
Enzi za Magufuli, Apumzike kwa Amani, Alikuwa analeta Madili ambayo yangempatia Kila Mtanzania Noah Moja Moja. Watawala wa sasa wajipime na watanzania tuwapime.

NO Reform No Election

Kidumu chama cha Mapinduzi.

#Tanganyika Kwanza
 
Hadi Mwisho wa mwaka June itakuwa ni mln 2 πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DKykp8PtV2h/?igsh=MTBwODczbjBpenFwMg==
Mwisho ma Sgr mnayataka ila deni la Taifa mnaliogopa.

Hata hivyo hongera Kwa Serikali kulipa madeni.

Ambao hawataki mkope walipe kodi zaidi simple tuu hivyo.
 
Enzi za Magufuli, Apumzike kwa Amani, Alikuwa analeta Madili ambayo yangempatia Kila Mtanzania Noah Moja Moja. Watawala wa sasa wajipime na watanzania tuwapime.

NO Reform No Election

Kidumu chama cha Mapinduzi.

#Tanganyika Kwanza
Mabadiliko gani? Tuoneshe noa uliyopata
 
Malipo ya deni Huwa yanapangwa kwenye Bajeti na Kwa Sasa Malipo yaliyopangwa ni Trilioni 12 Kwa mwaka.

Mwaka ujao watalipa Trilioni 14.5 lakini tutakopa tena 15T.

Mwisho Nchi haitegemei Mapato ya TRA pekee, Mapato ya ndani Kwa vyanzo vyote ni 40T.
 
Kwa hiyo tunalipa madeni 1.2 trillions kila mwezi in average, na mapato ni chini ya trillion 3 kila mwezi na mnakopa tena 15 trillions next year 😁, na hakuna mapato ya 40 trillions la sivyo tungekuwa na surplus
 
Kukopa hakukwepeki Kwa sababu unapata hela nyingi Kwa mda mfupi na inatumika vizuri kukimbiza miradi badala ya kudunduliza hayo makusanyo.

Ni Afya deni kulipwa Kwa kudunduliza kuliko kutekeleza miradi Kwa kudunduliza.

Mwisho Mapato ya ndani ya 40T Kwa mwaka plus mikopo ni 56T Sasa hiyo Yako ya Chini ya 3T Kwa mwezi inatoka wapi?

Mkopo pia unaweza tumika kulipa Mkopo.
 
Pesa ndogo sana hiyo wakope kope angalau tufikishe 30M kwa kila kengeπŸ˜…
 
Acheni mambo yenu kukopa mnaenda kujifungia huko mkishazimaliza kwenye kulipa mnakuja kututangazia kuwa na mimi nadaiwa wekeni mikataba ya mikopo wazi ili nione ntahusika au laa..
 
Alihitaji miaka mingapi Ili wewe upate noa,Maziwa na asali? Maana alishakaa miaka 6 madarakani
Mafanikio Yake Ya Miaka Sita Huyu wa sasa hajafika hata robo.
Alihitaji Huo Mwaka wa 2021 kumaliza Kazi Tuishi Kwa Starehe.
Kosa lake Ni Kama Lile La Musa.. ku9na kuwa hakuna mwingine ambaye angeweza kufanya yale bila yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…