Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Nchi yenye watu takribani Bilioni moja , India, na masikini wengi walikataa lakini ukweli ulitimia pale walipokosa mahali pa ''kuchomea wafu'' na kuni za kuchome zikaisha.Kwa taifa letu Karantini lingewezekana?
Kwamba wakulima wa kitanzania, wauza samaki na nyanya wa kitanzania, mama ntilie wa kitanzania uwaweke karantini sasa hivi tungekuwa na hali gani?
Unasahau kuwa JPM alipewa Bilioni 27 na EU na kuzifanyia kazi nyingine tofauti na ilivyokusudiwaMkopo wa tril 1.3 ndio ilikuwa sababu ya kuharibu maisha ya watanzania wakati karantine isingewezekana?
Imbecile!Hayati JPM alituvusha na alikuwa sahihi kukataa mashariti ambayo yangegharimu maisha ya watanzania.
Jirani zetu Kenya na Uganda walifuata hayo mashariti wapo wapi?
Kwanza we mpumbavu naomba uwe na lugha ya staha. Acha dharau za kipuuzi.Nchi yenye watu takribani Bilioni moja , India, na masikini wengi walikataa lakini ukweli ulitimia pale walipokosa mahali pa ''kuchomea wafu'' na kuni za kuchome zikaisha.
India hawakuwa na jinsi wakaweka ''Karantini' tena ya nguvu sana.
Unasahau kuwa JPM alipewa Bilioni 27 na EU na kuzifanyia kazi nyingine tofauti na ilivyokusudiwa
Imbecile!
Watu wamekufa sana kwasababu ya kumsikiliza!
Hakuvusha watu aliumiza sana watu, watu walikufa sana kwasababu yake
Alizuia chanjo kwasababu tu hataki, hakuwa na sababu akawanyima wanaotaka fursa!
Akaagiza watu wachemshe majani akijua hayana kazi, alifanya hivyo akijua anadanganya
Akaagiza dawa Madagascar , dawa isiyo na ithibati bali ujinga mtupu! gharama za ndege na watu walikufa. Akafungua mtambo wa kujifikiza Muhimbili na kuipa dunia kicheke! uzuzu mtupu
Orodha inaendelea, wewe ni ni tunda la halisi ya JPM ,
Kila mnapoandika haya mkumbuke watu walipoteza maisha kutokana na JPM katika COVID
JokaKuu Pascal Mayalla
Umemuelezea vizuri sana huyu dhalim.Alikuwa Zezeta tu huku mwenyewe akijifanya ni mjuaji wa kila kitu, na usiseme alikataa masharti ya nchi za magharibi hakuna nchi yoyote iliyolazimisha masharti kwa nchi nyingine bali ulikuwa ni ushauri wa wataalamu wa afya hivyo kila iliamua inachoona kinafaa katika kukabiliana na tatizo sema kwa upande wetu alifeli sana pale alipodai nchi yetu ugonjwa uliisha baada ya maombi ya viongozi wa dini na kupiga marufuku kutangazwa kwa vifo vilivyotokea kutokana na ugonjwa wa Covid.
Pale watu wengi walikufa lakini yeye hakujali, yaani alikuwa zaidi ya Ibilisi mwenyewe.
Hadi ikapita naye kiulaiiiniKwenye issue ya Corona JPM aliupiga mwingi sana...