Kila mtanzania anatambua kuwa hayati JPM alisaidia taifa letu kipindi cha mlipuko wa kwanza wa Covid 19 kwa kutaa mashariti ya mabeberu.

Kila mtanzania anatambua kuwa hayati JPM alisaidia taifa letu kipindi cha mlipuko wa kwanza wa Covid 19 kwa kutaa mashariti ya mabeberu.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kwa taifa letu Karantini lingewezekana?

Kwamba wakulima wa kitanzania, wauza samaki na nyanya wa kitanzania, mama ntilie wa kitanzania uwaweke karantini sasa hivi tungekuwa na hali gani?

Mkopo wa tril 1.3 ndio ilikuwa sababu ya kuharibu maisha ya watanzania wakati karantine isingewezekana?

Hayati JPM alituvusha na alikuwa sahihi kukataa mashariti ambayo yangegharimu maisha ya watanzania.

Jirani zetu Kenya na Uganda walifuata hayo mashariti wapo wapi?
 
Alikuwa Zezeta tu huku mwenyewe akijifanya ni mjuaji wa kila kitu, na usiseme alikataa masharti ya nchi za magharibi hakuna nchi yoyote iliyolazimisha masharti kwa nchi nyingine bali ulikuwa ni ushauri wa wataalamu wa afya hivyo kila nchi iliamua inachoona kinafaa katika kukabiliana na tatizo sema kwa upande wetu alifeli sana pale alipodai nchi yetu ugonjwa uliisha baada ya maombi ya viongozi wa dini na kupiga marufuku kutangazwa kwa vifo vilivyotokea kutokana na ugonjwa wa Covid.
Pale watu wengi walikufa lakini yeye hakujali, yaani alikuwa zaidi ya Ibilisi mwenyewe.
 
Kwa taifa letu Karantini lingewezekana?
Kwamba wakulima wa kitanzania, wauza samaki na nyanya wa kitanzania, mama ntilie wa kitanzania uwaweke karantini sasa hivi tungekuwa na hali gani?
Nchi yenye watu takribani Bilioni moja , India, na masikini wengi walikataa lakini ukweli ulitimia pale walipokosa mahali pa ''kuchomea wafu'' na kuni za kuchome zikaisha.
India hawakuwa na jinsi wakaweka ''Karantini' tena ya nguvu sana.

Mkopo wa tril 1.3 ndio ilikuwa sababu ya kuharibu maisha ya watanzania wakati karantine isingewezekana?
Unasahau kuwa JPM alipewa Bilioni 27 na EU na kuzifanyia kazi nyingine tofauti na ilivyokusudiwa

Hayati JPM alituvusha na alikuwa sahihi kukataa mashariti ambayo yangegharimu maisha ya watanzania.
Jirani zetu Kenya na Uganda walifuata hayo mashariti wapo wapi?
Imbecile!

Watu wamekufa sana kwasababu ya kumsikiliza!
Hakuvusha watu aliumiza sana watu, watu walikufa sana kwasababu yake

Alizuia chanjo kwasababu tu hataki, hakuwa na sababu akawanyima wanaotaka fursa!
Akaagiza watu wachemshe majani akijua hayana kazi, alifanya hivyo akijua anadanganya
Akaagiza dawa Madagascar isiyo na ithibati, ujinga mtupu! gharama za ndege na watu walikufa. Akafungua mtambo wa kujifikiza Muhimbili na kuipa dunia kicheko! uzuzu mtupu

Orodha inaendelea, wewe ni ni tunda la halisi ya JPM ,

Kila mnapoandika haya mkumbuke watu walipoteza maisha kutokana na JPM katika COVID

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Nchi yenye watu takribani Bilioni moja , India, na masikini wengi walikataa lakini ukweli ulitimia pale walipokosa mahali pa ''kuchomea wafu'' na kuni za kuchome zikaisha.
India hawakuwa na jinsi wakaweka ''Karantini' tena ya nguvu sana.

Unasahau kuwa JPM alipewa Bilioni 27 na EU na kuzifanyia kazi nyingine tofauti na ilivyokusudiwa

Imbecile!

Watu wamekufa sana kwasababu ya kumsikiliza!
Hakuvusha watu aliumiza sana watu, watu walikufa sana kwasababu yake

Alizuia chanjo kwasababu tu hataki, hakuwa na sababu akawanyima wanaotaka fursa!
Akaagiza watu wachemshe majani akijua hayana kazi, alifanya hivyo akijua anadanganya
Akaagiza dawa Madagascar , dawa isiyo na ithibati bali ujinga mtupu! gharama za ndege na watu walikufa. Akafungua mtambo wa kujifikiza Muhimbili na kuipa dunia kicheke! uzuzu mtupu

Orodha inaendelea, wewe ni ni tunda la halisi ya JPM ,

Kila mnapoandika haya mkumbuke watu walipoteza maisha kutokana na JPM katika COVID

JokaKuu Pascal Mayalla
Kwanza we mpumbavu naomba uwe na lugha ya staha. Acha dharau za kipuuzi.

Unatolea mfano India kulinganisha na taifa letu? Una akili timamu? Interaction ya India na Ulaya, China na Usa unaweza kulinganisha na taifa letu.

Ni kweli watu walikufa, lakini mbona huko Kenya na Uganda walioweka karantini hali ilikuwa mbaya zaidi ya hapa Tanzania. Au unataka kusema zile takwimu mliowapa Aljazeera kuwa watu elfu arobaini walikuwa wanakufa kila siku ni kweli?

Hayati JPM hakukataa chanjo hata siku moja, bali alitaka tujihakikishie kwanza ubora wa hizo chanjo kuliko kukurupuka.

Hizo bil 47 unazoseme EU walizitoa kwa maelekezo gani mpaka ulete point za kijinga? Walisema zitumike vipi?

Kujifukiza ni tiba ambayo ilitumika karibu dunia nzima kama hujui. Maana ugonjwa ulikuwa mpya na kila taifa lilikuwa linatafuta njia ya kujinasua. Kupeleka ndege ya serikali Madagascar unaona tabu sana? Tumia common sense.
 
Alikuwa Zezeta tu huku mwenyewe akijifanya ni mjuaji wa kila kitu, na usiseme alikataa masharti ya nchi za magharibi hakuna nchi yoyote iliyolazimisha masharti kwa nchi nyingine bali ulikuwa ni ushauri wa wataalamu wa afya hivyo kila iliamua inachoona kinafaa katika kukabiliana na tatizo sema kwa upande wetu alifeli sana pale alipodai nchi yetu ugonjwa uliisha baada ya maombi ya viongozi wa dini na kupiga marufuku kutangazwa kwa vifo vilivyotokea kutokana na ugonjwa wa Covid.
Pale watu wengi walikufa lakini yeye hakujali, yaani alikuwa zaidi ya Ibilisi mwenyewe.
Umemuelezea vizuri sana huyu dhalim.
 
Back
Top Bottom