Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwa taifa letu Karantini lingewezekana?
Kwamba wakulima wa kitanzania, wauza samaki na nyanya wa kitanzania, mama ntilie wa kitanzania uwaweke karantini sasa hivi tungekuwa na hali gani?
Mkopo wa tril 1.3 ndio ilikuwa sababu ya kuharibu maisha ya watanzania wakati karantine isingewezekana?
Hayati JPM alituvusha na alikuwa sahihi kukataa mashariti ambayo yangegharimu maisha ya watanzania.
Jirani zetu Kenya na Uganda walifuata hayo mashariti wapo wapi?