Wanakuja wakali mnoo yakiguswa maslahi Yao alafu wanatushawishi Sisi walipa Kodi Tuwe wazalendo Kwa kulipa Kodi.Tz analipwa vzr ndie asilpa kodi why?__
Mtu yuko na mshahara more 10M+ alip kodi bado ana posho na allowance za kutosha bado gari amepewa na mafuta + dereva + bima
Hili nazan wao nao wawe wazalendo kulpa kodi , (kiongoz bora ni yule anaongoza mfano)
Mishahara yao ikatwe Kodi,
Wabunge wanakatwa kodi kwenye salaries zao ila wamejipigia pande kwenye posho za vikao na perdiem za kukaa Dom kwa sababu hizo hazikatwi kodi.Tz analipwa vzr ndie asilpa kodi why?__
Mtu yuko na mshahara more 10M+ alip kodi bado ana posho na allowance za kutosha bado gari amepewa na mafuta + dereva + bima
Hili nazan wao nao wawe wazalendo kulpa kodi , (kiongoz bora ni yule anaongoza mfano)
Mishahara yao ikatwe Kodi,
Ina umiza sana watumish wa chin unakuta analpwa 300,0000/- hadi lak 1,000,000/- salary slip inamakato ya hadi 30% ya mshahara wake na hana allowance yoyoteWanakuja wakali mnoo yakiguswa maslahi Yao alafu wanatushawishi Sisi walipa Kodi Tuwe wazalendo Kwa kulipa Kodi.
Hv n kweli m-mbunge anakwatwa kodi Tz ?!Wabunge wanakatwa kodi kwenye salaries zao ila wamejipigia pande kwenye posho za vikao na perdiem za kukaa Dom kwa sababu hizo hazikatwi kodi.
NdiyoHv n kweli m-mbunge anakwatwa kodi Tz ?!
Mishahara yao inakatwa Kodi,,lakini marupurupu amabyao ni mengi hawalipii.Mshahara wa mbunge umeandikwa million 2 kwa mwezi lakini akiweka na marupurupu kabla ya allowance za safari wanapata million 20 kwa mweziTz analipwa vzr ndie asilpa kodi why?__
Mtu yuko na mshahara more 10M+ alip kodi bado ana posho na allowance za kutosha bado gari amepewa na mafuta + dereva + bima
Hili nazan wao nao wawe wazalendo kulpa kodi , (kiongoz bora ni yule anaongoza mfano)
Mishahara yao ikatwe Kodi,
halafu mwalimu ambaye mshahara kiduchu, hana malupulupu yoyote wala kiinua mgongo chake cha miaka ya utumishi hakilingani na cha mbunge cha miaka mitano anabeba mzigo wa kodi kibao na michango mara ya mwenge mara sijui ya nini.Tz analipwa vzr ndie asilpa kodi why?__