Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

Kweli wewe Mbinguni kwetu kwa hiyo Mungu anaguswa na Nyumba za Ibada kutokufungwa.Aisee mnapata wapi hayo maandiko hebu tafuteni kumwabudu Mungu katika Roho na kweli halafu nenda kasome Mambo ya Walawi sura ya 13 na 14 mpaka 15 jinsi ya kudili na magonjwa ya mlipuko badala ya kuja na Mihemko
 
Tusali kwa lipi?
 
tupe mwanga kidogo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mungu ana Kanuni(principles) za kusikia na kujibu MAOMBI ya watu wake.
Kama wewe ni mkristo kweli fuatilia Habari ya Nabii Yona alipotumwa na Mungu kwenda Jiji la Ninawi baada ya maasi. Mungu alikuwa amedhamiria kuiangamiza Ninawi lakini aligaili baada ya Mfalme, Watu kuvaa magunia na Wanyama kutubu dhambi na makosa yao!!
Je, Magufuli na Watz na Wanyama wamefanya hivo?
Bila TOBA ya kweli Mungu hawezi kusikia maombi ya Mnafiki!
 
Ubarikiwe Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sio maharage ya mbeya tu, ni Mbeya Mwakareli!!
 
Kama sio korona basi na namwomba Mungu mapenzi yake yatimie na iwe hivyohivyo kama ulivyotabiri!
 
Ungefunguka kidogo, prophet
Kama kweli yanayo fanyika siyo sahihi sidhani Mungu atavumilia mambo ya kijinga hivyo lazima tuchapwe. Kama kweli tunasimamia mema ghadhabu ya Mungu itatuepuka na tutabaki salama.

Watu wengi hawashiriki katika vita kwa kuwa pengine wananyonyesha, wamebaki nyumbani kuhudumia familia au ni wadhoofu kiafya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…