Kila Mtu aliyekwama Maisha analaani Ngono je serikali kwanini isiweke utaratibu wa kuwaokoa vijana?

Kila Mtu aliyekwama Maisha analaani Ngono je serikali kwanini isiweke utaratibu wa kuwaokoa vijana?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Chanzo cha umasikini na kuishi Maisha ambayo hayana Future yapo Katika , Ngono .

Inaonekana nchi masikini Kama TANZANIA ukiendekeza ngono Basi Mafanikio utaendelea kuyasikia nchi jirani.


Basi naomba Elimu kubwa ielekezwe kwa vijana athari za ngono .


Hawa single mothers jinsi wanavyogawa Umeme na kuwa ombaomba mtaani so ni hatari.


Tatizo la nchi ni Uzinzi na kukosa Elimu ya kutojitambua .

Nawasilisha.
 
Mbona serikali imeshindwa kuweka maji safi kijijini na umeme hata huduma za afya tu mbovu kwahiyo nayo ni ngono imesababisha?
 
If you don't want to go broke don't allow your third leg drive you brain.
I was extremely broke, extremely broke until I discovered this secret.. Now I use to look at myself on the mirror and start to Laugh in Shona "Tyu Tyu tyu" ! 😁
 
Back
Top Bottom