DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Chanzo cha umasikini na kuishi Maisha ambayo hayana Future yapo Katika , Ngono .
Inaonekana nchi masikini Kama TANZANIA ukiendekeza ngono Basi Mafanikio utaendelea kuyasikia nchi jirani.
Basi naomba Elimu kubwa ielekezwe kwa vijana athari za ngono .
Hawa single mothers jinsi wanavyogawa Umeme na kuwa ombaomba mtaani so ni hatari.
Tatizo la nchi ni Uzinzi na kukosa Elimu ya kutojitambua .
Nawasilisha.