Kama ni hivyo hoja ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kwenye umma wake ni potovu sababu ni mbiliNi fact na ndo ukweli huo...
Tatizo wengi wamepumbazwa na ilmu dunya
..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".
Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi
Nawasilisha
Umedandia basi ambalo haujui liendako, dini huanzia na Upagani, kisha Ukiristu na Uisilamu. Haiwezekani ukaanzia na Uisilamu ukaishia kwenye Upagani, rudi kwa mwalimu wako wa madrasa akufundishe kilicho sahihi...."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".
Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi
Nawasilisha
Wazee wengi wa Kiislam hawana elimu ya dini, wamejikaririsha tu upuuzi na kuamini hivyo na yote hii ni kutokana na kutokuwa na elimu sahihi. Uislam ni dini iliyokuja miaka mingi mbeleni baada ya Uyahudi na Ukristu na umekuja umeiga hizo dini, sasa iweje kila mtu anayezaliwa kuwa Muislam?..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".
Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi
Nawasilisha
Kama ni hivyo hoja ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kwenye umma wake ni potovu sababu ni mbili
1)ikiwa sababu ni kila mtu uzaliwa muislamu sasa inakuwaje muhammad awe ni muislamu wa kwanza kwenye umma wake ....kwa sababu wakati muhammad anazaliwa kulikuwa na watoto walio zaliwa mbele yake ,kwa masaa siku miezi na miaka mfano mtoto aliye zaliwa mwezi mmoja kabla ya kuzaliwa muhammad....huyo mtoto sini muislamu kwa mujibu wa hii kanuni ?
2) kama muhammad ni muislamu wa kwanza kati ya walio silimu? Hapa napo kuna swali la msingi ambalo kila nikiuliza JF napata majibu tofauti hata hayo majibu yote yana kwazo ndani yake ...hoja ipo hivi
A)kama muhammad ni muislamu wa kwanza kwenye kusilimu basi muhamadi alikuwa KAFIRI kabla ya kusilimu ...sasa nipeni jibu moja muhamadi ni muislamu wa kwanza KIVIPI ? adriz FaizaFoxy Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Jagina Covax

Wazee wengi wa Kiislam hawana elimu ya dini, wamejikaririsha tu upuuzi na kuamini hivyo na yote hii ni kutokana na kutokuwa na elimu sahihi. Uislam ni dini iliyokuja miaka mingi mbeleni baada ya Uyahudi na Ukristu na umekuja umeiga hizo dini, sasa iweje kila mtu anayezaliwa kuwa Muislam?
Kwanini wanakwambia tamka maneno haya au kuapishwa..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".
Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi
Nawasilisha
Wazee wengi wa Kiislam hawana elimu ya dini, wamejikaririsha tu upuuzi na kuamini hivyo na yote hii ni kutokana na kutokuwa na elimu sahihi. Uislam ni dini iliyokuja miaka mingi mbeleni baada ya Uyahudi na Ukristu na umekuja umeiga hizo dini, sasa iweje kila mtu anayezaliwa kuwa Muislam?
Kama ni hivyo hoja ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kwenye umma wake ni potovu sababu ni mbili
1)ikiwa sababu ni kila mtu uzaliwa muislamu sasa inakuwaje muhammad awe ni muislamu wa kwanza kwenye umma wake ....kwa sababu wakati muhammad anazaliwa kulikuwa na watoto walio zaliwa mbele yake ,kwa masaa siku miezi na miaka mfano mtoto aliye zaliwa mwezi mmoja kabla ya kuzaliwa muhammad....huyo mtoto sini muislamu kwa mujibu wa hii kanuni ?
2) kama muhammad ni muislamu wa kwanza kati ya walio silimu? Hapa napo kuna swali la msingi ambalo kila nikiuliza JF napata majibu tofauti hata hayo majibu yote yana kwazo ndani yake ...hoja ipo hivi
A)kama muhammad ni muislamu wa kwanza kwenye kusilimu basi muhamadi alikuwa KAFIRI kabla ya kusilimu ...sasa nipeni jibu moja muhamadi ni muislamu wa kwanza KIVIPI ? adriz FaizaFoxy Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Jagina Covax
Maandiko hawasomu hvo we mja..
Au inakuuma kuambiwa ulizaliwa muslim
..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".
Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi
Nawasilisha
Ukini fahamisha mimi siyo lazima inifae mimi inaweza kuwafaa watu wengine wasio waislam na walio waislam... hata fafanuzi ninazo toa mimi hapa jf mara nyingi azikufai wewe ninaye kujibu au ninaye mjibu ila zinakwenda kumfaa mtu mwingine ....Kafiri ni kuamini dini potovu au kutofuata dini sahihi.Wewe hata ukifahamishwa ndio utakuwa muislamu?
Kwanza utupe maana ya neno kafiri ni Nani ?
Dini ya kweli ni sawa na neno HAKI ...kuna tofauti ndogo sana baina ya DINI NA HAKI HIVYO DINI NA HAKI ni (MAPACHA WAWILI) hivyo ukiona mtu analalama kuwa dini ni utumwa jua mtu huyo alikuwa ajui au alikuwa afuati HAKI AU DINI YA HAKI mtu mwenye kufuata HAKI au DINI YA HAKI awezi kuwa mpumbavu wala mnafiki wala mshabiki wa dini
Kama upo hapa kupingana na ukweli endelea hv hvo.. ila ndo mshaambiwa ukweli nyie wote waislam toka tumboni hata malaika wako anajua hilo mkuuHamna kitu hapo. Dini imebumbwa na Mohamed miaka 600+ baada ya Ukristo. Ndiyo uje useme leo kuwa kila moja anazaliwa muumini wake.
Nyie endelezeni utamaduni wa Arabs hao. Imani ni ya mtu, usimlazimishe asiyehusika nayo. Vinginevyo ni fujo