Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Wamatumbi mnaamini kuna watu Wanapaa na ungo, mnaamini miujiza, mnaamini kuna misukule, mnaamini ushirikina upo na unafanya kazi. Tayari mnaamini ujinga mwingi you might as well amini kila kitu without any sort of reasoning whatsoever.
 
Ndo shida ya kuwa underground 🤣🤣 unajipinda unafanya research ya kitu unampa jamaa asome anapita nayo ! Anaandika yeye anapresent yeye unaliwa kichwa na ukienda kushtaki unaambiwa huyu jamaa anazo research zaidi ya 50 we huna hata moja.

Kinachowatokea wasanii pia !
 
Asantee sana sana brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…