Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo shida ya kuwa underground 🤣🤣 unajipinda unafanya research ya kitu unampa jamaa asome anapita nayo ! Anaandika yeye anapresent yeye unaliwa kichwa na ukienda kushtaki unaambiwa huyu jamaa anazo research zaidi ya 50 we huna hata moja.Wakati nasoma a-level nilikua mkali wa mchezo wa draft shule nzima. Siku moja nikacheza na mshkaji mmoja hivi wa kawaida tu, nikamchukulia poa si akanipiga super bhana. Akatoka kwa shangwe kwenda kutangaza kanipiga super bahati mbaya kwake hakuna aliemuamini na wakati tunacheza tulikua wawili tu kwaiyo hata shahidi hakuna na mimi nikakataa hajanifunga.
Baada ya kelele zake kuzidi tukapiga game ya wazi mbele ya watu game 5 nikampiga zote. Mpaka tunaondoka shuleni hakuna aliyewahi kumuamini kama alinipiga super
Unataka kujua maneno niliyosemeshwa!?Maneno gani
Asantee sana sana brotherNaa
Napenda kuona watu wakiwa na amani ya kawaida japo life has a lot of surprise, but we need kuwa stable kiakili ili uweze kuhandle all of your activities!
Kama mkristo sali, omba , funga achana na maneno humu ya watu kuhusu Imani,
Wengine familia zao hazina makandokando mambo yao Yana flow as they wish,
Wengine familia zetu ndo kila kukicha ni kulipa karma za wengine bila kusimama hasa ni ngumu mzee wangu!
Ikawe khery mwanangu
Haupo pekee yako,Asantee sana sana brother