makutupora pole sana bruh!! Usichukue maamuzi mabaya wala kujiombea mabaya
zaidi shukuru kwa hali hiyo kila unapomwomba Mungu!! Shukuru kwa kila jambo japo ni ngumu na inaumiza jipe moyo, amini unaenda kukutana na amani iliyo Bora kuliko mpenzi uliyetegemea awe amani kwako!!
Ndugu yangu fanya maamuzi sahihi, tumia muda mwingi kutafakari maisha yako kwenye positive view! Penda kusikiliza nyimbo km ni mpenzi wa nyimbo lkn ziwe za furaha zaidi, changamana na watu kiasi, ongea mwenyw kutoa kilicho ndani yako!
Nakutakia khery asubuhii ya Leo unaenda kuwa sawa,