Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Yan picha linaanza siku tu anakufa serikali inatangaza ajira kwa under 45 wote 😅wenye 46 na kuendelea wanastaafishwa mara makutupora akishakufa kumbe😅
Si mtanifanyia maombi ya ufufuo au mtafanyaje 😂 ... Na msiponiombea nifufuke!

Ntatawatesa sana ntakuwa nawatokea usiku kuwatishaaaaa 😂
 
Unajua maana ya msongo wa mawazo?

Msongo wa mawazo ni msongamano wa mawazo yanayoingia ndani akili ya mtu (nafsi ... Subconscious mind) yakiwa na swali yanayohitaji majibu sahihi kwa wakati sahihi!

Yakizidi kuwa mengi na yote yakiwa hayapatu majibu, mtu au moyo wa mtu ndipo unapooanza kuelemewa! Na ndio mwanzo wa mtu kukata tamaa!

Ila we push mambo ni mengi! We shall over come!

Nikivuka hapa! Trust me nitakuwa mmoja watu wafariji wakubwa kwa wengine maana ntakuwa na experience ya kutosha

Nipite semaji la Majobless Promax
Yaani ufe bila kuni tafutia demu wa kitanga, we kumbe ni kenge maji 🤣😂
 
It might be! Mimi ni mtoto wa Kiroho wa much Kimaro! Na amenisomesha pia, ila namna Dunia inavyonipeleka

Mtu hawezi akaamini kuwa Nina kipawa Cha utumishi na nimetumika sana madhabahunii

Hivyo acha nikuamini ... Kesho Jumuiya wapi mwenyekiti?
Jumuiya tarehe 22/ palepale pa siku zote
 
Back
Top Bottom