Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
- #101
Hata mimi nimecheka sana.Nikiwaambia watu mimi mwenyekit wa Jumuiya wanacheka mpaka wanakaa chini😂😂🙌
Anyway, Bwana asifiwe sana 👋🏽
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimecheka sana.Nikiwaambia watu mimi mwenyekit wa Jumuiya wanacheka mpaka wanakaa chini😂😂🙌
It might be! Mimi ni mtoto wa Kiroho wa much Kimaro! Na amenisomesha pia, ila namna Dunia inavyonipelekaDah haya bwana
Mimi ni mwenyekit wa jumuiya ya kusali kila jumamosi Kkkt.
Ila nikiwaambiaga watu nipo busy na mambo ya jumuiya wanacheka.
Aaargh nitaanza kuwa serious
Ila Edo 😅😅😅Ndugu huwezi kufa kabla yangu😂 kiufupi tufe tuende wapi tuzidi kupeana moyo na maombi mambo yetu yakae sawa.
Depression sababu ya hiyo pisi iliyokuacha au nyingine mkuu? Maana 😂😂Unajua nimeanza kupoteza kumbukumbu Edo!
Leo nilinunua maji ya Lita Moja na nusu! Nikanywa ... Kuna ishu nikawa nafanya!
Baadae naenda kuangalia maji kwenye friji sioni! Nikasema labda nimeyasahau kijiweni!
Nimerudi kijiweni hakuna maji! Nikamwambia mwenye duka! Nina kiu Sina hela naomba maji ntakulipa nikipata hela!
Jamaa angu akatokea nikawa namwambia nimepoteza maji ... Akacheka sanaaa!
Akasema tulikuwa wote! Ulikunywa maji yote na kopo Lile pale ulilitupa!.
😂 .. oyaa ogopa sana depression sio kitu kizuri
Hapo nakuamini mkuu ni kama the wacko Jacko miezi 3 bila kulala na ukilala miez 3 mbeleNaweza kaa mwezi mzima bila kulala.
Tough time never last but tough people do!Mkuu hebu achana na wazo la kufariki, una jua wewe ni mkubwa Sana kwangu!.
2015 nili kuwa kinda Sana, Kama ni mishe bado najaribu ku sort out kwa ajili yako!.
Hali ngumu hupita, ila wagumu tuna dumu.
Tuzidishe maombi, nisije mpoteza ndugu yangu.Ila Edo 😅😅😅
Natamani wewe mubwa nikulambe Ata Kofi 😅🥶umekula kwanza kabla ya yote?Hapana Sina watu wa kuongea na kuhusu hili jambo! ... Ajabu ni kuwa watu wangu wengi wa karibu wananiamini Mimi mtu imara sana.
Wananitegemea kwa ushauri, malusuhishi na maelekezo ya mambo mengi sana ya kiroho! .. kama muda huu nimetoka kuongea na simu karibia 45, na jamaa angu!
Akinipa mrejesho wa semina aliyofanya na mwitikio mkubwa aliopata na kunipa shukurani kwa tips, token na maombi ninayoomba nae kwani yanampa Matokeo!
Na wengine wengi! Ila hakuna mtu anayejua Hali ninayopitia ... Wanaaminigi Mimi mtu imara sana! Pengine ni kwa Sababu ya neema ya Mungu aliyonipa kwa kupenda kucheka na kutabasamu muda wote!
Sina Cha kupoteza! Siwezi kujiua ila ikimpendeza Mungu ni vema tu nikafa!
Kila kitu kwangu kime stack! Jamii forum ndo inanipaga faraja na kucheka!
Hawa jamaa wamekuwa kama ndugu kwangu humu ndani wananijali sana na wananipa moyo wa kusonga mbele Intelligent businessman Bolotoba Edo kissy na wengine nimewasahau!
Unajua maana ya msongo wa mawazo?Depression sababu ya hiyo pisi iliyokuacha au nyingine mkuu? Maana 😂😂
Hamna fimbo tuwahi tumtandikeTuzidishe maombi, nisije mpoteza ndugu yangu.
Umkumbuke kwenye sala zako.
Naona hasira Zako za kutokulipwa Leo kwenye kibarua chako umeniamishia Mimi eeh?Natamani wewe mubwa nikulambe Ata Kofi 😅🥶umekula kwanza kabla ya yote?
Ebu Fikiria utamu wa wali nyama, supu ya kuku vidali, ndizi mkaango,, sambusa,
Fikiria hao magonjwa aliyepo hospital ICU, mfikirie mtu mwenye miaka 59 mwenye HIV, AIDS bado ana anamatumaini ya kuishi
Mfikirie babu mwenye miaka 90 na kuendelea bado anatamani kuishi hadi miaka 100, japo uzee unamtesa watoto wote wapo mjini 🥶
Alafu wewe unasema unataka kufa😮💨
Pumbafu Toka maghetoni chukua jembe toa majani sesa nyumba nzima usiruhusu akili iwe idle
By then njoo PM
Acha uhuniNi kweli kabisa unachosema
Mfano mimi watu wanaoniona hapa mtaani na limwili langu kubwa kama kijumba na wengi wananipa shkamoo maana naanza kuonekana mdingi mdingi ila huwa nawaza siku wakija kusikia mimi napigaga Nyeto na chabo sidhani kama watakaa waamini!
Anikumbuke kweli asifanye utani!Tuzidishe maombi, nisije mpoteza ndugu yangu.
Umkumbuke kwenye sala zako.
Maneno ganiKuna siku mbuzi alinisemesha
Utamu wa ukoko wa wali na maharagwe asubuhi. Aki huyu jamaa🤐Natamani wewe mubwa nikulambe Ata Kofi 😅🥶umekula kwanza kabla ya yote?
Ebu Fikiria utamu wa wali nyama, supu ya kuku vidali, ndizi mkaango,, sambusa,
Fikiria hao magonjwa aliyepo hospital ICU, mfikirie mtu mwenye miaka 59 mwenye HIV, AIDS bado ana anamatumaini ya kuishi
Mfikirie babu mwenye miaka 90 na kuendelea bado anatamani kuishi hadi miaka 100, japo uzee unamtesa watoto wote wapo mjini 🥶
Alafu wewe unasema unataka kufa😮💨
Pumbafu Toka maghetoni chukua jembe toa majani sesa nyumba nzima usiruhusu akili iwe idle
By then njoo PM
Ndio maana siku kosea kukuchagua kuwa makamu wangu, boya. WeweNatamani wewe mubwa nikulambe Ata Kofi 😅🥶umekula kwanza kabla ya yote?
Ebu Fikiria utamu wa wali nyama, supu ya kuku vidali, ndizi mkaango,, sambusa,
Fikiria hao magonjwa aliyepo hospital ICU, mfikirie mtu mwenye miaka 59 mwenye HIV, AIDS bado ana anamatumaini ya kuishi
Mfikirie babu mwenye miaka 90 na kuendelea bado anatamani kuishi hadi miaka 100, japo uzee unamtesa watoto wote wapo mjini 🥶
Alafu wewe unasema unataka kufa😮💨
Pumbafu Toka maghetoni chukua jembe toa majani sesa nyumba nzima usiruhusu akili iwe idle
By then njoo PM
Nizalie nikujengee😅"siwezi kuishi bila yeye"
Hahahaha sitakufa Bali nitaishi nipate kuyasimulia matendo Makuu ya MunguNdugu huwezi kufa kabla yangu😂 kiufupi tufe tuende wapi tuzidi kupeana moyo na maombi mambo yetu yakae sawa.
Usikae alone sana mkuu, semaji mitano tena😂Unajua maana ya msongo wa mawazo?
Msongo wa mawazo ni msongamano wa mawazo yanayoingia ndani akili ya mtu (nafsi ... Subconscious mind) yakiwa na swali yanayohitaji majibu sahihi kwa wakati sahihi!
Yakizidi kuwa mengi na yote yakiwa hayapatu majibu, mtu au moyo wa mtu ndipo unapooanza kuelemewa! Na ndio mwanzo wa mtu kukata tamaa!
Ila we push mambo ni mengi! We shall over come!
Nikivuka hapa! Trust me nitakuwa mmoja watu wafariji wakubwa kwa wengine maana ntakuwa na experience ya kutosha
Nipite semaji la Majobless Promax