Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Kila mtu ana jambo lake ambalo anajua akilisema watu hawatamuamini

Ni kweli kabisa unachosema
Mfano mimi watu wanaoniona hapa mtaani na limwili langu kubwa kama kijumba na wengi wananipa shkamoo maana naanza kuonekana mdingi mdingi ila huwa nawaza siku wakija kusikia mimi napigaga Nyeto na chabo sidhani kama watakaa waamini!
Daah mix ya nyeto na chabo ni hatari sana. Mkuu uko sawa?
 
Chakula bora kuwahi tokea duniani ni nguruwe na ndizi rost 🐖🐖🐖
Haina ubishi hiyo
giphy-downsized.gif
 
During covid 19 in 2020 nilisoma kitabu chote Cha Sharply shadow kwa siku moja na hapo hapo nikienda tea break na lunch break kurasa nyingi sana nadhani hakuna atakayeaminiaana nilisoma out of boredome na wasiwasi mwingi wa maisha na kazi
 
Tuliwahi kuona Mimi na jamaa zangu3 fisi kavaa gauni na ana simu shingoni anatembea Kwa miguu2.

Hili tukio lilitokea kipindi tunamfuata dada alienda kufuata mbegu za viazi (marando) Kijiji jirani.

Tulimsubiri Hadi saa3 usiku mzee akatuambia mfuteni Mimi nilikuwa mtu mdogo kuliko wengine na nilikuwa mbele na tochi zile za zamani baada ya kuona nikajua nimeona mwenyewe tu sikusema hapohapo .


Tulipo enda kama dk2 aliyekuwa nyuma yetu akaniuliza Ina maana wewe hujaona hiyo kitu?

Nikamwambia twendeni kwanza tutaongea nyumbani. Muda kama dk20 dada tukampata anakokota baiskeli imeharibika.

Baada ya kufika nyumbani tukaanza kueleza Kila mtu na ni kweli Kila mtu aliona Ile fisi ya maajabu maana nilimulika kichwani sikuamini nilichoona ghafla nik
amlika chini badae akili ikaniambi nimlike zile nyayo ni kweli zilikuwa za fisi.

Tuliwaambia watu hakuna Aliye amini ila baada ya siku kadhaa kupita bibi Fulani akatuita tukiwa tunatoka shule na kutuuliza fln eti mliona Nini njiani siku Ile?

Nikasema hatukuona kitu jamaa mkubwa wetu akasema tulikuona wewe!!
Malizia mkuu.. Then ikawaje
 
Nashangaa wakati mwingine unaandika nyuzi ya kawaida tu, ila watu wanareply haiwezekani, chai, uongo 😵. Mngejua, kuna mambo ya kustaajabisha watu wameyabeba moyoni, hawawezi tu kusema na hata wakisema hamtawaamini.

Anyway, hivyo vibao viwaburudishe (mimi baadhi ya yale ya moyoni ambayo siwezi kuyasema yametajwa kidogo kwenye hizi nyimbo)


View: https://youtu.be/yM_0BhO4UAk?si=4RtKKNwAe54I4hLE



View: https://youtu.be/0wfWPRXHodY?si=UdiX9gVt73qvhHAg

Kuna mdada alikua secretary ofisini kwetu, aliacha kazi na kuja kunisaidia kulea mtoto nyumbani kwangu. Ilikua ghafla tu, mimba yangu ilivyokua kubwa alisema hataki niteseke, nikafikiri utani ila niliishia kuishi naye vyema kwa miaka mitatu Alimpenda mtoto wangu sana, mtoto alivyoanza kindergaten akaomba kurudi kwao Tabora. Hiyo ilikua almost 17 years ago, baada ya muda tulipotezana akawa hapatikani tena kwenye simu yake. Huwa namkumbuka sana na mpaka leo sijajua kwa nini alifanya yale maamuzi.
 
Kuna mtoto siku Moja uwanjan alikuwa anacheza na wenzake sasa wakampiga akawa akiwakimbiza hawapati akageuka paka wale watoto wakakimbia kutoa taarifa na Mimi nilishuhudia live bila bando ila Kuna M2 ukimwambia anakwambia movie hasa vitoto vya mjini
 
Back
Top Bottom